Natafuta nyumba ya kupanga Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ya kupanga Arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by whizkid, Jan 11, 2012.

 1. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 301
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Wana JF,

  Natafuta nyumba ya kupanga Arusha maeneo ya Njiro. Vyumba viwili au vitatu (kimoja kiwe self-contained), sebule, jiko na bafu/choo. Budget Tshs 250,000/= kwa mwezi. Kama una information zozote (unafahamu nyumba inayopangishwa, una namba za brokers etc) tafadhali ni PM. Ahsante sana.

  PS: Nipo tayari kulipa mwaka mzima.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kuna members wenzetu wako hapo Njiro!
  Ngongo ni mmojawapo, naamini kiona hii atakupigia in no time!
   
 3. Kwaroz

  Kwaroz Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nitafute kwa namba 0713772308 au 0767772308 ni mwenye nyumba na ipo njiro kwa msola. Ina room tatu moja self contained na zingne mbilo za kulala, sebule na dinning pamoja na public toilet. Umeme umeshalipiwa kwa ajili ya kuunganishwa ni muda wowote utawekwa.
   
 4. K

  Kiuti New Member

  #4
  Sep 10, 2014
  Joined: Sep 7, 2014
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salamu nyingi wadau wa Jamii forums.
  Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 160,000/- tu kwa mwezi. Kodi inalipwa kwa miezi mitatu mitatu.

  Pungufu moja la nyumba hii ni kuwa haina maji lakini ina matangi mawili (10,000Lts+2000 Liters) ambayo mpangaji anaweza kuagiza maji na kuyajaza kwa gharama yake.Hii nyumba ni mpya na ina umeme. Pia ipo mahali patulivu na usalama ni wa uhakika.

  Ukihitaji hii nyumba basi piga simu kwa Gerald 0685612463 au 0719300277.

  Nitakuwa tayari kukuonyesha hii nyumba wakati wowote.
   
 5. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2014
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Arachuga!!!!!!
  The best city in tanzania,nyama choma kwa sana,samaki choma na ugali,anytime unapiga pamba bila kutoka jasho,arachuga is my real best city down there,siku nikirudi home ntapenda kuishi arachuga.
   
 6. C

  Chemwali JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2014
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  ni pm njiro TEMDO
   
Loading...