1. Isiwe ndogo saaana,
2. Iwe nzuri na yenye mvuto,
3. Isiwe imetumika mno,
4. Isiwe na umeme,
5. Iwe maeneo ya uswazi (cheap),
6. Iwe nyeupe na ndefu,
7. Mpangaji niwe peke yangu,
8. Isiwe na masharti mengi,
9. Nisizuiliwe kutumia huduma za tigo,
10. Iwe katika mazingira ya usafi.
Nyumba nitakayoipata na kuniridhisha kwa haya yote 10 nitafanya mazungumzo ya kuinunua kabisa ili iwe yangu kabisa. Nawasilisha!
wapangaji wa huko nyuma mi si kazi yangu kujua ila kwa sasa isiwe na mpangaji. Kuhusu wapangaji wengine wameRIP sijari kwani kama waliRIP kwa maralia mi ntatumia nets every day.iwe imeshapangishiwa wapangaji wangapi,
je wapangaji wengine kama wameRIP itakuwaje.