Yes,simiyu ni balaa kwa ufugaji wa kondoo,unakula nyama hadi inakukifuJapo ni uzi wa miaka 10 nyuma, nenda Maswa Simiyu utakula nyama ya kondoo mpaka ushindwe kutembea kwa shibe.
uzi wa 2010 unakuja kujibu 2020 are you serious master?Bado unatafuta iyo nyama? Maana nipo sudani kama vipi nikuletee
Maswa mjini pale kila jumapili ni mnada, mahali panaitwa Shanwa, mbuzi na kondoo wanachinjwa na kuchomwa hapo ni balaa. Mguu mzima wa nyuma unauziwa buku 5 tuYes,simiyu ni balaa kwa ufugaji wa kondoo,unakula nyama hadi inakukifu
Hivi Migori na Kisumu ni miji inayokaribiana?Njo migori
Migori ya mteraHivi Migori na Kisumu ni miji inayokaribiana?
Ni umbali gani toka Sirari/Isbania to Kisumu
Umbali gani pia toka Migori to Kisumu na unaanza na mji gani tokea Isbania
Hahahahhaha😀😅🤪Migori ya mtera
Iringa to dodoma
Niko Hapa Nyakabindi BhalaaJapo ni uzi wa miaka 10 nyuma, nenda Maswa Simiyu utakula nyama ya kondoo mpaka ushindwe kutembea kwa shibe.
Kwani kila kitu ulichokua unakihitaji 2010 saivi umeshakipata?uzi wa 2010 unakuja kujibu 2020 are you serious master?