NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 397
- 280
Ndugu zangu habari za muda huu, Nilikua natumia simu tajwa hapo juu ila haikuwa ya kwangu nilizima mwenye nayo kaitaka mempa sasa nataka ninunue yangu naomba mnielekeze wapi ntaipata niko Dar
mpya kabisa huwezi kupata ila refurbished zipo unaweza kucheki kikuuNdugu zangu habari za muda huu, Nilikua natumia simu tajwa hapo juu ila haikuwa ya kwangu nilizima mwenye nayo kaitaka mempa sasa nataka ninunue yangu naomba mnielekeze wapi ntaipata niko Dar