mods mnaona hii THREAD... noah, mapua, haram, tamuu mnaruhusu matangazo yake huku
Dhambi sio moja tu, watu wanabaka watoto wadogo, wanalawiti, wanaua, wanazini na wake/waume za watu, wanachukia watu wengine, wanateka watoto wa kike, wanatetea ushoga, wanapinga ushoga hadharani huku wanaufanya kisiri, wanaiba, hawaswali huku wanakosoa wengine kwa misingi ya kanuni za dini, wanafiki, mabaradhuli, wakatili, wanaoigiza kuokoka huku wakiwa ni wadhambi wakubwa na wachafu n.k .
Hizo zote ni dhambi pia, si vyema kushikilia kimoja tu, piganieni vyote!
Sijaona mahali popote katika vitabu vitakatifu ambapo Panya, nguruwe, kasa, fungo, nyani, pweza, popo, kenge, ngedere, sungura, ngamia amehalalishwa labda nipate msaada wa wadau!