CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 157
pole sana kwa huo usumbufu. unaonaje ukienda hukohuko ASAS diaries ukwauliza? huenda wakawa na msaada zaidi.
hongera kwa kufikiria kufuga, ni plan nzuri sana.
huu ni mradi mzuri sana...... ukiwa na eneo la nkutosha uknawa na ngombe wakno wa maziwa atleast kumi wanaokamuliwa hesabu yake ni nzuri sana .... wapo ngombe wanatoa mpaka 30-40 liters per day .... pale kilacha, Himo Moshi kuna shamba la mifugo la mission unaweza ulizia pale
Good idea! hivi unaweza ukafahamu bei ya kila ng'ombe kwa kulingana na umri wake? kwa kweli ni mradi mzuri kama ukiwa na eneo kubwa kama ulivyosema.huu ni mradi mzuri sana...... ukiwa na eneo la nkutosha uknawa na ngombe wakno wa maziwa atleast kumi wanaokamuliwa hesabu yake ni nzuri sana .... wapo ngombe wanatoa mpaka 30-40 liters per day .... pale kilacha, Himo Moshi kuna shamba la mifugo la mission unaweza ulizia pale
Thanks LAT.
Mi' nataka nichukue 20 cows.
Hata kama nitakuwa natumia 200,000 kwa matunzo kwa kila ng'ombe poa tu!
Unaweza kunipatia contacts? Hapo umeshanipatia mwanzo, nitafanya efforts za kuwapata.
Cheers!!!!!!!
Duuh, ng'ombe mwenye mimba laki tano tu!! ilikuwa bei ya lini hiyo? it seems to be a reasonable and good price maana akifika tu unapata matunda yake hapohapo.safi sana mkuu ata kitulo mbeya walikua wanatoa ao ng'ombe. mwenye mimba ilikua laki tano sa cjui kwa sasa
Duuh, ng'ombe mwenye mimba laki tano tu!! ilikuwa bei ya lini hiyo? it seems to be a reasonable and good price maana akifika tu unapata matunda yake hapohapo.
thanks for this contribution!!!!!
Soko la Maziwa kwa Dar liko vp?
huu ni mradi mzuri sana...... ukiwa na eneo la kutosha ukawa na ng'ombe wako wa maziwa atleast kumi wanaokamuliwa .... uknawatunza kwa ubora na lishe ya kitaalam .... hesabu yake ni nzuri sana .... wapo ng'ombe wanatoa mpaka 30-40 liters per day .... pale kilacha, Himo Moshi kuna shamba la mifugo la mission unaweza ulizia pale
Soko la Maziwa kwa Dar liko vp?
Soko la Maziwa kwa Dar liko vp?
Mkuu, siyo rahisi ukapata mkulima wa kukuuzia ng'ombe wa maziwa mwenye mimba. HAKUNA.
Ukitaka ng'ombe bora ni lazima ugharimike, tafuta mkulima mwenye mbegu bora za ng'ombe, kisha nunua ndama, tafuta bwana mifugo awe mshauri wako jinsi ya kuwakuza. Hakika baada ya muda utaingia kwenye kundi la wafugaji bora wa ng'ombe wa maziwa. Ng'ombe bora kwa sasa unaweza kukamuliwa maziwa lita zaidi 60 kwa siku.
Mkuu, siyo rahisi ukapata mkulima wa kukuuzia ng'ombe wa maziwa mwenye mimba. HAKUNA.
Ukitaka ng'ombe bora ni lazima ugharimike, tafuta mkulima mwenye mbegu bora za ng'ombe, kisha nunua ndama, tafuta bwana mifugo awe mshauri wako jinsi ya kuwakuza. Hakika baada ya muda utaingia kwenye kundi la wafugaji bora wa ng'ombe wa maziwa. Ng'ombe bora kwa sasa unaweza kukamuliwa maziwa lita zaidi 60 kwa siku.
Sasa hivi lita moja ya maziwa ni shilingi 1,200/=