Natafuta Network Specialist kwa ajili ya project

obbie

Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
30
Reaction score
4
Habari wana Jamii forum,

Napenda kuchukua fursa hii kutafuta mtu ambaye ana uzoefu wa kutosha kwenye Networking hasa ambaye ameshafanya kazi au project ya ISP kwa hapa Tanzania, kuna mradi nataka kuuanzisha so kama kuna yeyote ambae ni mbobezi kwenye ISP business aje tuongee biashara.

PM me kama ikikuhusu
 
Subiri wanakuja
 
Back
Top Bottom