Jaribu kupitia maduka ya camera mkuu angalau unaweza ukapata memory card nzuri. Unataka ya kazi gani? Maana sasa hivi tunaweza kuzi categorize memory card katika mafungu matatu.Ni ya simu. Niliharibu kupita kkoo na kuangalia ni ioi bora nikashindwa nikaona nije kuuliza wataalam humu. Ninunue card aina gani?
Jaribu kupitia maduka ya camera mkuu angalau unaweza ukapata memory card nzuri. Unataka ya kazi gani? Maana sasa hivi tunaweza kuzi categorize memory card katika mafungu matatu.
1. Memory card za Application
Hizi zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma mafile madogo madogo kwa haraka, ni nzuri kama unataka memory card kwa ajili ya kueka apps na software hasa kwa wale ambao simu zao zina storage ndogo. Utaijua kwa kalama A1 ama A2 kwenye memory card.
2. Memory card za video (camera)
Hizi ni kwa ajili ya camera ama simu zenye uwezo mkubwa wa kuchukua video na picha kama vile simu zenye 4k ama camera kubwa mp20 na kuendelea. Hizi utazijua kwa Alama V mbele ya memory card mfano V30
3. Memory card za kawaida matumizi yote, hizi zinakuwa na class kama 2, 4, 6, 8, 10 U1 U3 etc
Hivyo memory card ya kisasa all purpose ina rating ya U3, v30, A2 kama hii picha
Ila bei yake nayo inakuwa ghali, hivyo angalia mwenyewe matumizi yako unataka nini, ushauri wangu minimum iwe class 10, zunguka uhuru kwenye maduka ya camera yenye stika za njano njano utapata.
Kama hii Gb 400 kudumu kwake kuna uhakika kweliiiii?? naogopaga vi memory vyenye storage kubwa yani naonaga ni kama namtwisha mwanangu ndooo ya lita 20 wakat kamwili kake ni kadogoooo.Jaribu kupitia maduka ya camera mkuu angalau unaweza ukapata memory card nzuri. Unataka ya kazi gani? Maana sasa hivi tunaweza kuzi categorize memory card katika mafungu matatu.
1. Memory card za Application
Hizi zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma mafile madogo madogo kwa haraka, ni nzuri kama unataka memory card kwa ajili ya kueka apps na software hasa kwa wale ambao simu zao zina storage ndogo. Utaijua kwa kalama A1 ama A2 kwenye memory card.
2. Memory card za video (camera)
Hizi ni kwa ajili ya camera ama simu zenye uwezo mkubwa wa kuchukua video na picha kama vile simu zenye 4k ama camera kubwa mp20 na kuendelea. Hizi utazijua kwa Alama V mbele ya memory card mfano V30
3. Memory card za kawaida matumizi yote, hizi zinakuwa na class kama 2, 4, 6, 8, 10 U1 U3 etc
Hivyo memory card ya kisasa all purpose ina rating ya U3, v30, A2 kama hii picha
Ila bei yake nayo inakuwa ghali, hivyo angalia mwenyewe matumizi yako unataka nini, ushauri wangu minimum iwe class 10, zunguka uhuru kwenye maduka ya camera yenye stika za njano njano utapata.
Hizi ni ratings za speed mkuu hazina mahusiano na ubora inaweza ikawa class 6 imara ama class 6 mbovu.Chief-Mkwawa leo kiongozi kusema ukweli nimepata kitu ambacho sikua nakijua kabisa kabisa,sasa hapo mkuu nina swali yani wakati naendelea kusoma ikabidi niamke niangalie memory zangu zote, nikakuta nyingine zina ki no.6 kmezungushiwa duara nyingine 10 ila sjaona ya U1 wala U3 sasa hizo mkuu zinapatikana wapi??
Halafu pale juu kwenye zile memory kwa ajili ya Storage ya kwenye simu nazo zinapatikana wapi chief,Pia kuna madhara yoyote kama kuwahi kufa kwa memory au kupoteza uwezo endapo nitatumia memory ya Group 1 kufanyia kazi ya Group.
Zaidi nikupe salute kwa somo hili mkuu.
Wanatumia technology kama TLC na 3d nand kwa kueka layer nyingi zaidi mkuu kwa technology ya sasa watafika hadi 2TB. Cha muhimu ni warranty ikiharibika unarudisha.Kama hii Gb 400 kudumu kwake kuna uhakika kweliiiii?? naogopaga vi memory vyenye storage kubwa yani naonaga ni kama namtwisha mwanangu ndooo ya lita 20 wakat kamwili kake ni kadogoooo.
Mkuu ubarikiwe sana. Naufanyia kazi ushauri wako. Sina shaka na wake walioandika andika wamepata somoJaribu kupitia maduka ya camera mkuu angalau unaweza ukapata memory card nzuri. Unataka ya kazi gani? Maana sasa hivi tunaweza kuzi categorize memory card katika mafungu matatu.
1. Memory card za Application
Hizi zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma mafile madogo madogo kwa haraka, ni nzuri kama unataka memory card kwa ajili ya kueka apps na software hasa kwa wale ambao simu zao zina storage ndogo. Utaijua kwa kalama A1 ama A2 kwenye memory card.
2. Memory card za video (camera)
Hizi ni kwa ajili ya camera ama simu zenye uwezo mkubwa wa kuchukua video na picha kama vile simu zenye 4k ama camera kubwa mp20 na kuendelea. Hizi utazijua kwa Alama V mbele ya memory card mfano V30
3. Memory card za kawaida matumizi yote, hizi zinakuwa na class kama 2, 4, 6, 8, 10 U1 U3 etc
Hivyo memory card ya kisasa all purpose ina rating ya U3, v30, A2 kama hii picha
Ila bei yake nayo inakuwa ghali, hivyo angalia mwenyewe matumizi yako unataka nini, ushauri wangu minimum iwe class 10, zunguka uhuru kwenye maduka ya camera yenye stika za njano njano utapata.
Yani wewe ni hasara uliyejaa wivu. Nikisema wa kike nitakose sana. Unamjua nyegere? Kamnyama fulani hivi kaporipori kana mgongo mgumu kama jiwe na kanapenda sana asali. Sio kakakuonaChief salute kwako,umefanya Uzi usio productive kuwa productive kwenye mada ile ile ya Memory card.
Ila mtoa mada aache kudeka deka hivi Hata ukiwa na 50000 hupiti piti madukani kugusa gusa vitu.
Ni ya simu. Niliharibu kupita kkoo na kuangalia ni ioi bora nikashindwa nikaona nije kuuliza wataalam humu. Ninunue card aina gani?
Hivi external za 500GB huwa zipo? Au ni kuanzia 1TB?Njoo nikuuzie 16GB Memorycard kwa bei ya kitanzania kabisa. Nakupa na warranty ya mwezi mzima ikikuzingua unarudsha..
Ofisi yangu ipo hapa Machinga Complex sio mbali kutoka k.koo
Pia nauza flash na external hdd..
Karibuni nyote..
Nipgie sasahivi kwa 0765961152
Zipo mkuu hata ukitaka 250GB..Hivi external za 500GB huwa zipo? Au ni kuanzia 1TB?