Natafuta namba ya Paul Makonda

Mtafute Hapo

0682 009 009
 
Leo usiku yupo pale Igoma kwenye kasri alilomjengea mama yake! wanaita usiku wa Makonda watakesha wanakula ulabu kabla ya kesho kuamkia Furahisha kwenye mikutano.Wahi pale utaonana nae vizuri tu.
 
Leo usiku yupo pale Igoma kwenye kasri alilomjengea mama yake! wanaita usiku wa Makonda watakesha wanakula ulabu kabla ya kesho kuamkia Furahisha kwenye mikutano.Wahi pale utaonana nae vizuri tu.
Pale noma kuna jambo lilitokea kipindi Fulani acheni tu viongozi majambazi tu na kwa nafasi hiyo anakuwa jambazi zaidi CCM wanatupa hard life
 
Watafute mchengerwa, masauni, ummy mwalimu na mawaziri wengine aliowapigia akiwa ziarani kanda ya ziwa akifanya siasa za chama chake
 
Ndugu zangu MTU anapokuwa siriaz kuomba msaada please tuache mizaha sababu huwezi kujua huenda kupitia msaada wako ukaokoa ndoto za mtu na uhai kwa ujumla.
 
Mcheki yule bibi Faizafox atakupatia
 
Nini hiko mkuu tudokezee hata kidogo
Teh! Teh! kuna mambo mengi sana hapo ndani by then Makonda alipiga simu kwa hayati kuomba msaada na vituo vya Polisi kuwa kavamiwa home kwake kuondoa aibu. Dukua kwa jirani zake Igoma utaekezwa so balaa lakini watt wa mbwa tupo hadi Leo kitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…