Natafuta nafas ya field

Natafuta nafas ya field

CHRISTIAN HILLARY

New Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
4
Reaction score
1
HIvi jaman hizi nafasi za field mbona zimekuwa ngumu utafikiri ni kazi wanakupa? natafuta nafasi ya field kitengo cha civil engineering
 
hivi jaman hizi nafasi za field mbona zimekuwa ngumu utafikiri ni kazi wanakupa? Natafuta nafasi ya field kitengo cha civil engineering

uko mkoa gani..? Kama uko dar es salaam nenda erb(engineering registered board ) kuna contact za consultancy na macontractor kibao wa civil pia wanaweza kukupa msaada wakuattach kwenye kampuni ukafanya field ....
 
dogo hujielewi ww civil engineering gan ww? field zko sehemu kibao eti nakosa sehemu za field ar u crazy????
 
dogo hujielewi ww civil engineering gan ww? field zko sehemu kibao eti nakosa sehemu za field ar u crazy????
kwani ni mimi nilieomba field au muanzisha thread..?

jitahidi quote mtu sahihi wakati unareply post zako sawa...
 
Field ngumu kupata hata mimi nimetokea huko, nenda tanroads ya ubungo au kibaha kama unaishi dar
 
Back
Top Bottom