Natafuta mwenza

images

Ila domo zege umeshindwa kumwambia!Unabaki kujifanya mkali tu ili ajipendekeze!
 
alegeze masharti bwana. Masharti utafikiri mganga wa kienyeji.
heheeh mbona unamvunjia heshima mgombea wetu bana, unajua jamaa ana toyota 2? au haukusoma vzuri cv yake? halaf ana referens ya kufanya kazi ubalozi wa kazakistan
 
Napenda kuwashukuru wadau wote mlionichangia kwa mawazo na ushaur baadhi mlini pm, wengne kunicall nasema asanteni, nazidi kufarijika na kupata mawazo mapya. MUNGU IBARIKI JF IDUMU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom