wewe unataka wa somo gani?Unataka mke au mwalimu wa sayansi?!
Mmesikia wanaajiriwa ndio mnaanza kuwataka
Umekosa,jibu Lake ni 'hupata koroma/nazi bovu 'Hupata jembe
Basi nenda nunua line ya Chuo utakuta namba zao huko.Ila hawa wapya ingependeza zaidi
Mm sichagui mwanamke kwa kigezo cha kaziwewe unataka wa somo gani?
mimi sina kazi nitakufaa?Mm sichagui mwanamke kwa kigezo cha kazi