Natafuta mwenza/mke mwenye miaka kuanzia 30-45



Kwani kuficha vyeti kutasaidia basi, atagundua utapokuwa unatoa points ukiongea.
Sitoongea maana kasema haitaji muongeaji, mie itakuwa ni vitendo tu, kupika ugali kama jiwe na kufua, mwisho nasubiri tu mshahara wangu.
 
Sitoongea maana kasema haitaji muongeaji, mie itakuwa ni vitendo tu, kupika ugali kama jiwe na kufua, mwisho nasubiri tu mshahara wangu.



Huyu Boss anaonekana so boring, yaani hataki watu waongee kazi gani hii sasa..
 
kumbe
Mie ni Mzee wa miaka 40 nimeoa na kuacha mara mbili kutokana na kuto-match. Nimekaa singo miaka miwili sasa bila mwenza.

Nimechoka kujipikia, kufua na kupiga pasi. Nahtaji mwenza kuanzia miaka 30-45.

Vigezo:
1. Awe na elimu isiyozidi kidato cha nne, maana hawa walioenda vidato ndo nimeshindwana nao siwataki tena.
2. Awe mahiri katika upishi na usafi. Kwenye mapishi nataka ugali mgumu wa kisukuma sio uji uji wa kidaslamu
3. Awe na 'chura' sitaki vipotabo nataka figa la kiafrika.
4. Asiwe muongeaji saana.

Kama uko tayari nicheki kwa PM

msukuma .....mh ndo maana umeshindwa ndoa mbili. Unapenda kunyanyasa. kila la heri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom