Habari wana JamiiForums,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nina umri wa miaka 31, najishughulisha na biashara ndogondogo, nipo Dar es Salaam, nimekuja kwenu natafuta mwenza kwa mara nyingine.
Jaman hakuna kitu kigumu kama upweke, naamini kati yenu yupo mmja ambaye atakuwa tayari tulisukume gurudumu la maisha pamoja.