pinkrose1010
Member
- Jul 20, 2023
- 25
- 17
Mimi ni mwanamke, umri miaka 36 natafuta mwenzi umri kuanzia miaka 36 -54 awe HIV Positive
Mola akutangulie utapata inshalaahMimi ni mwanamke umri miaka 36 natafuta mwenzi umri kuanzia miaka 36 -54 awe HIV Positive
Huna ata picha jmn tukuoneMimi ni mwanamke umri miaka 36 natafuta mwenzi umri kuanzia miaka 36 -54 awe HIV Positive
😂😂Kila la kheri Mungu akupe hitaji la moyo wako.
Mwenyew Niko kwenye mstari sasa anatafuta yoyote ata mwokota makopo nimempenda bure hajachaguaMungu akutimizie hitaji lako dada!
Mungu akakujibu kwa kadiri ya hitaji la moyo wakoMimi ni mwanamke umri miaka 36 natafuta mwenzi umri kuanzia miaka 36 -54 awe HIV Positive
Sasa kwanini unajiita PinkRose? Anyway nakutakia Kila lililo la heriMimi ni mwanamke umri miaka 36 natafuta mwenzi umri kuanzia miaka 36 -54 awe HIV Positive
Wapenzi umu wote wagaratia😎Mungu akakujibu kwa kadiri ya hitaji la moyo wako
Mwenyew Niko kwenye mstari sasa anatafuta yoyote ata mwokota makopo nimempenda bure hajachagua
😂😂😂😂Usimpunguze makali bn36 tafuta dalali peke yako ni ngumu
fimboyaasali emu mfanyie mpango mwangalizie mtu uko kwenye reserve list
✍️
Safi sana chief mfungukieKama ww ni "me" bas tulia tulia kula maisha ndoa sio ligi 😁
Kama ni anae pumua tu ushanipata, hayo mengine tusitishane...😂😂😂safi
Haaaaaa doctor 💊 mpe kidogo apunguze maumivuunatafuta mwezi au mwenza