Boli linatembea
Senior Member
- Dec 21, 2022
- 115
- 333
Habari zenu, kama mnavoona hapo juu baada ya hussling za miez kadhaa hapa Toronto nikiri kwamba mambo ni magumu watu ni wengi hakuna ajira, nataka nikajaribu jimbo tajwa hapo juu, naomba kama kuna mtu yuko huko anipokee japo nikae mwez huku nikiendelea na mchakato wa kutafuta ajira, nitashukuru sana. Ahsanteni!!