Natafuta mwenyeji British Columbia- Canada

Natafuta mwenyeji British Columbia- Canada

Wakati ukipambana na kutafuta ajira Canada, jaribu pia kutafuta fursa ya kusomea chochote ili upate certificate ya huko, hii njia imewasaidia wengi kupata ajira huko Canada, taasisi nyingi huko Canada hazijali sana elimu zetu za Afrika. Pia pambana kutafuta kazi zozote za kujitolea/ volunteer job.
Sasa hivi watu watu wana emmigrate.
Kuna namna Canadians seems wanataka ku adjust mambo yao, kitu kinachopelekea ajira sasa hivi kuwa ngumu sana. Wahindi na Waarabu hata wenyewe wame surrender na sasa wanapakimbia kwa wingi, nadhani kuna namna wanataka kupungiza watu fulani bila kuwafukuza. Ila kwa sasa siyo pa kupakimbilia.
Kabla ya kusoma hiyo course fupi inabidi aangalie vibali vyake kwanza kama bado vinamruhusu kuishi nchini, kama vime expire basi hata hata hiyo course hataweza kuwa enrolled, Canada siyo US.

Hata akipata under the counter job, bado hataweza kuitumia hela yake, maana hana SSN...kumbuka, Canada siyo US.
 
Back
Top Bottom