Natafuta mwekezaji tufanye biashara

Natafuta mwekezaji tufanye biashara

Fanya jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wako ndugu yangu. Tambua tiyari una mkopo na bado unataka kuongeza mkopo kwenye jambo lenye risk zaidi.

Asset ya uhakika uliyo nayo hapo ni ardhi peke yake , hivyo vingine ni perishable
Uko sawa kidogo bosi. Mkopo nilionao ni wa mshahara means nalipa kupitia mshahara sio biashara ungekuwa mtumishi ungeelewa hii. Ninachotaka ni mkopo wa mkulima ambao baada ya kukuza wanyama nalipa huu ni ule ambao unapewa muda wa miezi sita ndio ulipe
 
Mm pia naona ameanza juu sana.

1. Ndio ufugaji wako wa kwanza?.
Au unauzoefu nao?.

2. Umeanza na nguruwe + kuku wangap?
Kwann usingeanza kimoja kwa uchache ili ujifunze taratibu.

3. Hata kama mkopo wa kwanza unakatwa kwa salary. Sishauri uchukue mkopo mwingne.
(Ufugaj una badilika muda mwingne,
Kuna wizi ugonjwa nk.)

4. Komaa na kufanya low scale kwanza kwa muda huu ili ujue meng kuhusu aina ya ufugaj wako.
Wewe ni moja ya mshauri best keep it up. Ila niko na hii biashara mwaka wa sita sasa nimeizoea ninaipenda na naona fahar kwa kazi hii

Asant bro
 
Bank kuna mikopo ya wakulima na wafugaji nadhani kila rejesho ni baada ya miezi sita.
Mashari yao ni magumu lzm uchukue kuanzia milion 100 sasa mimi hii ni kubwa mno kwangu.
 
Uko sawa kidogo bosi. Mkopo nilionao ni wa mshahara means nalipa kupitia mshahara sio biashara ungekuwa mtumishi ungeelewa hii. Ninachotaka ni mkopo wa mkulima ambao baada ya kukuza wanyama nalipa huu ni ule ambao unapewa muda wa miezi sita ndio ulipe
Kazi siyo reliable kwani si unaweza kuacha? Chukua ushauri unaokutaka ufanye lile lililo ndani ya uwezo wako ndugu
 
Back
Top Bottom