Natafuta mwekezaji tufanye biashara

Natafuta mwekezaji tufanye biashara

kwe2tu

Senior Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
138
Reaction score
226
Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo.

Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe.

Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu nimekopa Bank kwa kutumia msharaha wangu nikanunua eneo tajwa kwa takiribani 15,000,000/= nimejenga hayo mabanda na nyumba ndogo ya kukaa kijana

Kwasasa nina fuga nguruwe na kuku lkn natafuta mtu au Shirika linaloweza nikopesha ht milioni 10 kwaajili ya kulisha mifugo yangu

Ambayo naamini baada ya miezi minne nitakuwa nimenenepesha mifugo nimeuza ndipo nalipa mkopo wangu pamoja na riba

Zingatia sio naanzisha biashara nimeshaanza nina gari ndogo na eneo lkn pia namifugo u
Ishu nipesa ya kulishia Dhamana yangu ni 1. Gari ndogo
2. Shamba langu
3. Mifugo yangu.
4. Mshahara wangu.

Kumbuka bank sikopesheki kwani nilikopa kwaajili ya kununua eneo
Na kujenga miundombinu.

Kwanini nimeomba kusaidiwa mawazo naamini kuna watu humu wanazo pesa za kutosha tunaweza kushea au kukopeshwa wakawa wanakula faida tu

Kwa mwenye pesa au anafahamu wapi naweza pata mkopo wa kulipa baada ya miezi minne anisaidie ili niendelee kupambana

Maomba mawazo na Maoni

Wako katika kazi
 
Onesha hilo shamba tulione na mabanda yake na hao nguruwe na kuku ili wajuzi wa Jiji Mwanza tujiliridhishe kama lipo kweli au chai!
 
Wadau mimi ni mwl nipo jiji la mwanza. Nimwajiriwa lkn najihusisha ktkt biashara za kilimo.

Ninaeneo la hekari km mbili na nusu. Nimejenga nyumba ya kawaida kwaajili ya kijana wa kazi pamoja na mabanda ya kuku na nguruwe.

Lkn km mnavyojua biashara yeyote inataka mtaji bila mtaji hakuna kitu nimekopa Bank kwa kutumia msharaha wangu nikanunua eneo tajwa kwa takiribani 15,000,000/= nimejenga hayo mabanda na nyumba ndogo ya kukaa kijana

Kwasasa nina fuga nguruwe na kuku lkn natafuta mtu au Shirika linaloweza nikopesha ht milioni 10 kwaajili ya kulisha mifugo yangu

Ambayo naamini baada ya miezi minne nitakuwa nimenenepesha mifugo nimeuza ndipo nalipa mkopo wangu pamoja na riba

Zingatia sio naanzisha biashara nimeshaanza nina gari ndogo na eneo lkn pia namifugo u
Ishu nipesa ya kulishia Dhamana yangu ni 1. Gari ndogo
2. Shamba langu
3. Mifugo yangu.
4. Mshahara wangu.

Kumbuka bank sikopesheki kwani nilikopa kwaajili ya kununua eneo
Na kujenga miundombinu.

Kwanini nimeomba kusaidiwa mawazo naamini kuna watu humu wanazo pesa za kutosha tunaweza kushea au kukopeshwa wakawa wanakula faida tu

Kwa mwenye pesa au anafahamu wapi naweza pata mkopo wa kulipa baada ya miezi minne anisaidie ili niendelee kupambana

Maomba mawazo na Maoni

Wako katika kazi

Kama unaweza pamabana mwenyewe taratibu, endelea hivyo hivyo, Jipange, usitamani kujua sana
 
Bank kuna mikopo ya wakulima na wafugaji nadhani kila rejesho ni baada ya miezi sita.
 
Teacher gari ndogo huwa inakuaje?

Kwenye loan risk assesment wewe risks zako zinasoma juu sana.

Ushauri wangu uza baadhi ya mifugo upate hela ya kulisha mingine
 
Mm pia naona ameanza juu sana.

1. Ndio ufugaji wako wa kwanza?.
Au unauzoefu nao?.

2. Umeanza na nguruwe + kuku wangap?
Kwann usingeanza kimoja kwa uchache ili ujifunze taratibu.

3. Hata kama mkopo wa kwanza unakatwa kwa salary. Sishauri uchukue mkopo mwingne.
(Ufugaj una badilika muda mwingne,
Kuna wizi ugonjwa nk.)

4. Komaa na kufanya low scale kwanza kwa muda huu ili ujue meng kuhusu aina ya ufugaj wako.
 
Hongera sana kama mtumishi unapambana lakini mimi siwezi kumkopesha Mwafrika mwenzangu sisi ni watu wa ajabu sana. Mwafrika ukimkopesha ndiyo imekula kwako.
 
Sanasana mademu kama hawajatulipa tunaweka hema hapo hPo Julia neno hema
 
Fanya jambo ambalo lipo ndani ya uwezo wako ndugu yangu. Tambua tiyari una mkopo na bado unataka kuongeza mkopo kwenye jambo lenye risk zaidi.

Asset ya uhakika uliyo nayo hapo ni ardhi peke yake , hivyo vingine ni perishable
 
Teacher gari ndogo huwa inakuaje?

Kwenye loan risk assesment wewe risks zako zinasoma juu sana.

Ushauri wangu uza baadhi ya mifugo upate hela ya kulisha mingine
Ticha kajichanganya!! Kazama mazima kwenye mfumo!!
😁😁😁
Alikuwa over ambitious wakati anaanza na hakutaka ushauri!! Sasa project imemkabia juu anarudi JF kuomba aokolewe kwenye mzamo!!
😂😂😂
Cha msingi aangalie kipi kinauzika sasa hivi ili hiyo hela aitumie kujikwamua!!
Dah Ticha aisee!!!

Mkuu sio kwamba siwezi kulisha niko na hii biashara miaka sita sasa na inaendelea kuomba mkopo au ubia sio kwamba nimeshindwa wafanyabiashara wote wapo hivyo sio kwamba wameshindwa isipokuwa wanataka kuongeza faida zaidi. Narudia tena SIJASHINDWA lengo ni kuongeza uzalishaji na faida.
 
Bank kuna mikopo ya wakulima na wafugaji nadhani kila rejesho ni baada ya miezi sita.
Na huu ni aina ya Mkopo alipaswa kuuomba.
Means angeanza kuurejesha wakati nguruwe na kuku wamerikia kuvunwa. Sasa hapa ana mawili ya kuchagua familia ilale njaa ama nguruwe walale njaa wadumae.
 
Ticha kajichanganya!! Kazama mazima kwenye mfumo!!
😁😁😁
Alikuwa over ambitious wakati anaanza na hakutaka ushauri!! Sasa project imemkabia juu anarudi JF kuomba aokolewe kwenye mzamo!!
😂😂😂
Cha msingi aangalie kipi kinauzika sasa hivi ili hiyo hela aitumie kujikwamua!!
Dah Ticha aisee!!!
😂😂😂
Unakosea bosi kuomba mkopo sio kosa au kushindwa kuendesha biashara lengo ni kuongeza uzalishaji ili kutosheleza soka la nyama badili mtazamo maana umeandika kwa mbwembwe kweli

Soko ni kubwa mtaji mdogo so nahitaji kuongeza uzalishaji sijashindwa kuhudumia. Niko na biashara hii miaka sita na inaendelea
 
Back
Top Bottom