Natafuta mwanaume wa kunioa

Njoo pm mama lao
 
Hujamalizia.
Mchaga wa eneo gani?
Figure namba 8, au kiroba?
 
Kila la kheri Manka, ila usisahau kupima "waya" au "malale" pindi ukimpata mtu.
Usikubali mtu aje, akudinye hajakuchumbia, watakuachia manyoya.
 
Miaka 33 ni umri mzuri, ambapo mwanamke anakuwa amepata ufahamu wa kutosha kuhusu ndoa, maisha na kila kitu... Ingawa mimi si mmoja wapo, ungekuwa tayari kimawazo au kutarajia kupata na kulea watoto haraka haraka, endapo neema ya Mungu ipo.. Ni Hayo....
 
33 yrs mwanamke hujaolewa? Jua linaanza kuzama, pambana hata boda akuoe
 
Kwanini wa miaka 23 huwa hawatafuti wa kuwaoa wanasubiri hadi 30+
 
Wasalam

Wakuu hii ni seriously issue kama una mdogo wako wa kike hakikisha hasomi an kamaliza shule na ni mzuri pia anajitambua..

Anaweza kufanya biashara kama
Kuuza Vijora ofisini
Uwakala
Stationary

Naweza kukukaribisha umri 18-23...

Hiki kigezo cha umri zingatia sana sana

Hii ni ofa ambayo natoa kwa week moja tuu ikipita sitaki mtu anisumbue PM...

Kuhusu kulala kula na nk mimi ntashughulika...
Atalala kwangu...
Atakula kwangu....

Na hapo unaweza niita shemeji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…