MZURI SANA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2023
- 240
- 546
- Thread starter
- #21
Hongera sanaNa hii ndio sababu kwanini sipendi kuacha Smartphone mezani.

Sitaki namtafutaUmba wa kwako
Yani mpaka usemeniseme nini ?
Kipi nisemeYani mpaka useme
Mmmh, yani hapo badoKipi niseme
Siwezi kuwa zobazoba kama huyo mbaba meiUyu na wasiwasi ni GENTAMYCINE
We si ndo ulisema ana mvuto kuliko woteSiwezi kuwa zobazoba kama huyo mbaba mei
YahWe si ndo ulisema ana mvuto kuliko wote
Mamende walioko Dar wamtafute wampe mimba huyu jamaaId ya jamaa wa kawe hiyo
Pumbavu.Uyu na wasiwasi ni GENTAMYCINE
Mambozz.
Jamani natafuta mwanaume wa kunioa humu jf.
Awe na Hela kwenye Acc yake isome 900M na kuendelea.
Awe na passport na imetiwa muhuri wa nchi 5 za ulaya kuendelea.
Awe na nguvu za kiume.
Gari kuanzia tano ndogo kabisa iwe Harrier.
Awe mkazi wa Mbezi beach,masaki ,oysterbay,masaki,ununio,mbweni,bahari beach na kigamboni.
Awe msafi na mtanashati nguo zake awe na designer kabisa.
Akubali kunioa kuanzia mwakani mwenzi wa kwanza?
Mwachiluwi / G70 machoko nyieMambozz.

Wakina James delicious walianza kama wewe, mimi nina uhakika wewe ni mwanaume shoga unataka kuwapiga mafala.Spika ipi
Kama hunyii njoo nikuowe faster, maana natafuta slay Queen asiye kunyaa hata kidogo kama Mdoli!!Mambozz.