Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,107
- 55,524
Nipo hapa, mimi ndiye mmiliki wa gaza kwa sasa hivi
kama mwezi huwezi kuandika unaandika mwenzi na unataka mwanaume mwenye 900m jijue wewe ni mpuuzi wa mwisho na itaishia kuolewa na mlinzi wa vunjabeiMambozz.
Jamani natafuta mwanaume wa kunioa humu jf.
Awe na Hela kwenye Acc yake isome 900M na kuendelea.
Awe na passport na imetiwa muhuri wa nchi 5 za ulaya kuendelea.
Awe na nguvu za kiume.
Gari kuanzia tano ndogo kabisa iwe Harrier.
Awe mkazi wa Mbezi beach,masaki ,oysterbay,masaki,ununio,mbweni,bahari beach na kigamboni.
Awe msafi na mtanashati nguo zake awe na designer kabisa.
Akubali kunioa kuanzia mwakani mwenzi wa kwanza?
Na wewe unachangia nini kwenye maendeleo ya huyo mwanamme? Kwa kifupi, unaleta nini kwenye maendeleo ndani ya huo uhusiano wenu? Umesoma, ni mvaa hijab tu, mbea, hunuki makwapa, papuchi na mdomo, na umalaya umeacha lini, umetoa mimba ngapi mpaka hivi sasa?Mambozz.
Jamani natafuta mwanaume wa kunioa humu jf.
Awe na Hela kwenye Acc yake isome 900M na kuendelea.
Awe na passport na imetiwa muhuri wa nchi 5 za ulaya kuendelea.
Awe na nguvu za kiume.
Gari kuanzia tano ndogo kabisa iwe Harrier.
Awe mkazi wa Mbezi beach,masaki ,oysterbay,masaki,ununio,mbweni,bahari beach na kigamboni.
Awe msafi na mtanashati nguo zake awe na designer kabisa.
Akubali kunioa kuanzia mwakani mwenzi wa kwanza?
Wewe Una nini!?Mambozz.

RE YOU SERIOUSLY CAM TO THE DMMambozz.
Jamani natafuta mwanaume wa kunioa humu jf.
Awe na Hela kwenye Acc yake isome 900M na kuendelea.
Awe na passport na imetiwa muhuri wa nchi 5 za ulaya kuendelea.
Awe na nguvu za kiume.
Gari kuanzia tano ndogo kabisa iwe Harrier.
Awe mkazi wa Mbezi Beach, Masaki , Oysterbay, Ununio, Mbweni, Bahari Beach na Kigamboni.
Awe msafi na mtanashati nguo zake awe na designer kabisa.
Akubali kunioa kuanzia mwakani mwenzi wa kwanza?
niambie nipo nimekaa pale 
mkuu ushaolewa? kama bado tuwasilianeMambozz.