Natafuta mwanaume wa kunioa mwenye vvu

Natafuta mwanaume wa kunioa mwenye vvu

sijaelewa! Ina maana na wewe una vvu? halafu miaka 41 bado unatafuta wa kukuoa? Hebu kitulize hiko kipapa. hakuna ambae anaweza kukuoa wewe labda wa kukutafuna papuchi yako. ndo ukweli wenyewe huo dada. umri uliokuwa nao ulitakiwa uwe unalea wajukuu na sio kuhangahika mitandaoni kutafutwa mume na wajukuu zako.

Jifikirie tena ...akili yako imejaa unyanyapaa...hakika uliyoyasema hata angeambiwa nani asingefurahi....nina imani wewe binafsi unapenda kuambiwa mazuri na ya kukutia moyo ...sasa kwa mwenzio ni hivyo hivyo.
 
Asante sana ukweli kwa kunipa, moyo,maana nishaanza kukataa tamaa

pole sana dada na hongera kwa ujasiri uliounyesha usikate tamaa kwa maneno ya watu humu bora wewe umeijua afya yako na kuikubali hao wanaokuponda wenyewe hawajijui wapo group gani mimi naamini ukimwi unaweza mpata yeyote na kwa muda wowote hata angekua makini kiasi gan ni mungu tu ndiye anayetuepushia na aliyepata si mjinga bali ndivyo ilivyopangwa na muumba.

pia kua na ukimwi sio kufa kwani nalaria inaua haraka kuliko huo.sijambo jema kumnyanyapaa muathirika.nakuombea upate hitaji la moyo wako na pia nirudie kukupongeza kwa maanuz ya busara ya kutafta mwenza wako ili musizidi kuvieneza naamini yupo na atakuja
 
Pole mkuu mie ningekushairi upanue vigezo hasa hicho cha umri....
 
sijaelewa! Ina maana na wewe una vvu? halafu miaka 41 bado unatafuta wa kukuoa? Hebu kitulize hiko kipapa. hakuna ambae anaweza kukuoa wewe labda wa kukutafuna papuchi yako. ndo ukweli wenyewe huo dada. umri uliokuwa nao ulitakiwa uwe unalea wajukuu na sio kuhangahika mitandaoni kutafutwa mume na wajukuu zako.

Aibu yako
Jitu zima ovyoooo
 
Iko siku utaikumbuka hii kauli. utalia na kusaga meno.

timaso piga moyo konde na umsamehe huyu mwanaharamu.

Nakuombea kwa Mungu akutimizie hitaji lako. Mungu ni muweza wa yote.
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa ushauri wako ni mzuri sana lakini wapo wenye vvu kama mimi na wenyeenye wajukuu hao ndo ninaowatafuta wanahitaji kuishi na mke kumbuka nasi ni binadam

Roho yaniuma
 
nashukuru kwa ushauri wako ni mzuri sana lakini wapo wenye vvu kama mimi na wenyeenye wajukuu hao ndo ninaowatafuta wanahitaji kuishi na mke kumbuka nasi ni binadam

Unajua kuwa mkiwa na aina tofauti ya hivyo virudi mtazidisha kuambikizana na kuuana na kufa haraka kuliko alie na aina moja ya kirusi cha ukimwi?

Kama haujui hili nenda haraka katafute ushauri. Jambo hili wengi hawalijui.
 
hawajui .wengi waume zao hawana mke anao mtoto anao mume au mke hana.bado tena unaenda kutafuta nwingine ili iweje??? jamani tutulizane mungu amekataza
 
Unajua kuwa mkiwa na aina tofauti ya hivyo virudi mtazidisha kuambikizana na kuuana na kufa haraka kuliko alie na aina moja ya kirusi cha ukimwi?

Kama haujui hili nenda haraka katafute ushauri. Jambo hili wengi hawalijui.

Acha zako wewe. Kutafuta mwenza sio kwa ajili ya kudinyana tu. Isiroshe kama anajua hali yake kashaata elimu tosha.... matumizi ya kinga lazima atakuwa anayajua.

BTW ushapima???
 
mutant gene

Vibaya usimkatishe tamaa kwani na yeye ana moyo kana binadamu wengine,afadhali yeye amesema kweli kuna wengine kazi yao kusambazia wenzao wasio na hatia,mpe mfariji na anaweza kumpata mwenzie akaishi kwa furaha na amani...
 
Last edited by a moderator:
nashukuru kwa ushauri wako ni mzuri sana lakini wapo wenye vvu kama mimi na wenyeenye wajukuu hao ndo ninaowatafuta wanahitaji kuishi na mke kumbuka nasi ni binadam

Na mnahitaji kukunwaaa vile vile akuwacheeeee
 
eti pole mnampa pole kafanya nini?.mtu anatafuta mme pole ya nini tena?
 
Unajua kuwa mkiwa na aina tofauti ya hivyo virudi mtazidisha kuambikizana na kuuana na kufa haraka kuliko alie na aina moja ya kirusi cha ukimwi?

Kama haujui hili nenda haraka katafute ushauri. Jambo hili wengi hawalijui.
Anajua na lazima atakua na elimu sahihi ya VVU.
Huyo atakayempata nae atakua anajua khs hilo pia. Nae anahitaji mwenza msimnyanyapae kwa visababu visivyo na mashiko.
 
Umri wangu miaka 41 nina shughuri binafsi za kuniingizia kipato, naye pia awe mwajiriwa au shughuri yoyote halali ya kumwingizia kipato.Umri wake miaka 45-60 alitayari aniPM KWA WALIO SERIOUS TU

Kila la heri dada. Mungu akubariki na upokee uombacho.
Wala usijali kabisa maushari ya kukatisha tamaa. Hapo usingesema status yako ungeona haohao wanaokunyanyapaa humu wangekua wa kwanza kuja huko pm.
 
mutant gene

Acha unyanyapaa.Aiyekuambia mabibi hawawezi kuolewa ni nani.Mwache mwenzio amtafute babu mwenzake
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom