Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Ugumu wa maisha utatuua wanawake..
Never! Only our small minds will.
Ugumu wa maisha utatuua wanawake..
Ukimwi ni nini?
Ingekuwa busara kumuuliza mleta mada kwanini anataka mtu wa namna hiyo ili tuweze kujua, lakini sio kumkashifu. Nina amini ana sababu zake za msingi.
Kwani wodi yao si unaijuwa..?? Nenda huko..kama kuna mkaka anaishi na virusi vya ukimwi au unarafiki yako naomba uni PM tupate kuongea mm naitaji mwanaume aliyeathirika npate kuishi nae hili suala nliloamua mimi ingawa mm cjaathirika nataka kumpa maisha ya mapenzi na asijutie kuwa duniani
maajabu ya dunia
Doesn't Add Up!
kama kuna mkaka anaishi na virusi vya ukimwi au unarafiki yako naomba uni PM tupate kuongea mm naitaji mwanaume aliyeathirika npate kuishi nae hili suala nliloamua mimi ingawa mm cjaathirika nataka kumpa maisha ya mapenzi na asijutie kuwa duniani
Eti wewe kama mzazi wa huyu binti, ungesemaje?
Mmmeacha kujadili mada mmekimbilia kumshambulia mtu binafsi na kuleta ushabiki wa kuhukumu.
bibie kazi ushapata?naona jukwaa la kazi umetoa post zaidi ya 3 ukiomba upate kazi yoyote mara tena umehamia huku unatafuta mpenz muathirika,hehehe naomba nikupeleke FEMALE PSYCHIATRIC WARD