mzalendo91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 430
- 138
wengine humu hata kupima hamjapma mm nkmpta yy atakuwa shahidi
Kwa hawa madaktari wetu wa BRN ambao unakuta mgonjwa anayetakiwa operation ya kichwa anafanyiwa ya mguu... Una uhakika gani kama majibu waliyokupa ni ya kwako na sio ya mwenzio