Pandamlima
Senior Member
- Feb 27, 2013
- 143
- 13
Jamani hivi kwa nini watu wakiona request kama hizi yaani wanakuja kwa spidi sana, wakati hata mtu humjui, chungeni adabu yatakuja kuwatokea puani bure....nawasilisha
Na sababu hiyo inaweza ikawa ya kijinga au ya maana... Hapo ndo penye tofautieverything happen for a reason..
Haiwezekani unirushe roho hivi bure,mi nakupm asee moyo wangu utulie