nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 10,683
- 9,861
awe mtu mzima kuanzia 35+
awe ana interest za business
awe anajitambua
asiwe bwakubwaku
awe ana uwezo wa kuzungumza hadharani,kuhutubia n.k.
awe na uwezo wa kusafiri ndani na nje ya nchi
awe anajua uchungu wa mwana
awe anamudu hali zote za maisha
asiwe na aibu ktk utaftaji mfano.shughuli kama ma ntilie n.k
awe na uwezo wa kukaa mazingira tofauti mfano kijijini na ajue kutumia jiko la kuni.
asiwe sista duu
awe na driving licence( si lazima)
ajue kuna kupata na kukosa
awe mcha mungu