Natafuta mwanamke wa ndoa

Natafuta mwanamke wa ndoa

hivi nini kinafanya mtu atafute mke wa kuoa humu? una madhaifu gani ya kukufanya ukose mke mpaka kufkia hatua ya kuzamia mtandaoni?
...tuachane na hayo weka na sifa zako zngne nje na umri.
 
hivi nini kinafanya mtu atafute mke wa kuoa humu? una madhaifu gani ya kukufanya ukose mke mpaka kufkia hatua ya kuzamia mtandaoni?
...tuachane na hayo weka na sifa zako zngne nje na umri.
🤣🤣 mtaani kushoto ndoige ya tozo, kulia ndoige ya tanesco..

Basi heka heka
Ndo maana wanakuja huku
 
Dah jf watu wanatafuta wake wa kuowa wakati mimi huku nawakimbia...kwa mfano hiki kitoto cha form three kimeniganda mpaka baasi😂😂😂View attachment 2425021
Hako katoto ukikatreat vyema, ukakafanya kakuamini sana kweli katakua kamke bora, ila ni iwapo tu kakifika fom foo ukaoe la sivyo kakienda mbele zaidi huna chako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom