Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

Hili ndio linalosukuma wanaume wengi wasiokuwa na watoto kwenye ndoa kuzaa nje ya ndoa. Maana ukishazeeka utaambiwa hata wa kusingiziwa huna?? Basi ulikuwa na matatizo wewe. Sasa ili kuepuka hayo nawashauri wanaume wenye shida hii wachukue hatua mapema..

Lakini huyu tayari ana mtoto
 
Ww kweli Mkimbizwa Mbio! Na kama mwanaume anakuwa ana matatizo unashaurije? Achakachuliwe? No wonder huwa mnachakachuliwa, hehehe! Raha ya kuwa mwanamke ni kuwa unaweza kucheat bila kujulikana na kuzaa bila kujulikana na baba watoto!
Vita mnaanzishaga afu mnaanza kulia! Huyu ana mtoto mwingine, kazaa wa ndoa mmoja, na mkewe ana wa nje! Anataka nini? Wasio na watoto kabisa wasemeje? Ningemjua mkewe wallah ningemuambia amchakachulie afaidi ada ya bure hapo!
HIVI UKIWA NA MIKA SABA BILA HATA MTOTO. NA UKAGUNDUA SHIDA IPO KWA MWANAMKE. WEWE KAMA GREAT THINKER UTASHAURI MWANAUME ACHUKUE HATUA GANI???. tUSIONGEE TU KUFURAHISHA JAMIII. JE MUME AKUBALI KUISHI MAISHA YAKE YOTE BILA MTOTO???
 
Maty, acha waarabu wa pemba hao! Wakichakachuliwa watarudi! Kwanza hawajui mipango ya Mungu mingi! Kuna dada alikuwa na watoto wake wawili, mmoja form 4 mwingine std 6. Wakafariki in a span of 2 months! Akisaka huyo wa nje ana mpango na Mungu?
Lakini huyu tayari ana mtoto
 
MkimbizwaMbio huyu mtu ana watoto wawili tayari wa mke na wa kwake sasa anachotafuta huko nje ni nini kama sio uzinzi tu? Mkewe angekua hajawahi kumzalia mtoto sawa lakini ameshazalia mmoja na anamwingine pia aliemzaa ujanani so mke ana mayai ya kutosha tu, pengine huyu baba ndio alikua na yai moja mbona hana hata wa kusingiziwa huko nje? Hana shida ya mtoto huyu anatafuta mwanamke wa kuzini nae tu

Wewe unaonekana ni sizitaki mbichi hizi, sababu huna sifa. Nimecheki email yangu sasa hivi, tayari kuna mademu 3 wameishatuma contact. Maty wanawake wa kuzini nao tu sio wa kuangaika kutafuta. Wako kibao hata ukitaka kumi kwa siku unawezakupata. Naona we hauko kwenye viwango ndo maana unapiga filimbi sana. Wewe usitake nifanye unachotaka wewe. Badala ya kutoa ushauri wa maana kumsaidia mtu wewe unapuliza filimbi tu.
 
Huu uwanja sio wa matusi. Hapa hapapaswi kuwa mahali pa matusi. Panatakiwa kuwa mahali pa watu kupata solutions za matatizo yao. Ukitukana unasaidia nini? Kama mtu huna constructive idea si ukae kimya tu??? Inakugharimu nini kuwa kimya na kusoma mawazo mazuri ya wengine? Kutukana haiwezi kuwa sifa ya Great Thinkers. Hata mtu akitofautiana na wewe tabia, mawazo, mwonekano, msimamo, nk, jibu lako kama wewe ni mtu makini na mstaarabu haliwezi kuwa tusi. Nani hafanyi dhambi hapa duniani? Dhambi haiwezi kuondolewa kwa kutukana mtu. Wote mnaotukana hapa ni watakatifu??? Hamna mapungufu yoyote??? Acha hizo zenu. Mnaharibu sifa na madhumuni ya mtandao huu. Badilikeni. Toeni constructive criticisms, sio kubwabwaja matusi hapa. Kuwa bingwa wa kutukana ni kuonesha ni kiasi gani "debe" lako liko tupu.
 
Wewe unaonekana ni sizitaki mbichi hizi, sababu huna sifa. Nimecheki email yangu sasa hivi, tayari kuna mademu 3 wameishatuma contact. Maty wanawake wa kuzini nao tu sio wa kuangaika kutafuta. Wako kibao hata ukitaka kumi kwa siku unawezakupata. Naona we hauko kwenye viwango ndo maana unapiga filimbi sana. Wewe usitake nifanye unachotaka wewe. Badala ya kutoa ushauri wa maana kumsaidia mtu wewe unapuliza filimbi tu.

Sawa baba mie sizitaki mbichi hizi natamani kuzaa na wewe ila sina vigezo hayo ni mawazo yako na umewaza vyema.

Ila ni hivi hao wanawake waliokutumia email ni vilaza kama wewe nachelea hata huyo mtoto utakaezaa na mmoja wao atakua kilaza pia. Mwanamke mwenye akili timamu angemfikiria huyo mkeo kwanza atajisikiaje akisikia mumewe aliekaa nae miaka yote hiyo ameenda kuzaa nje kisiri angekua yeye angefurahia hayo

pili angewaza kwa nini azae mtoto ambae wewe unataka iwe siri ajekujulikana siku ambayo we utakufa labda ndio ajitokeze eti alizaa na wewe

tatu labda huyo mwanamke angekua mbaya kama mimi na hana elimu kama mimi nilieishia std IV na mama wa nyumbani kama mimi ningemuelewa. Lakini mwanamke mrembo na kajiform six kake na kazi yake na ofcourse huwezi kuwa na kazi kama umeishia form six lazima ana kajidiploma au kadegree (hiyo form six yako pekee haiwezi kumpatia mtu kazi) anakubaliana na matakwa yako inaonyesha hakuna wanaume ambao hawajaoa waliomtamani miaka yote hiyo lazima ana matatizo makubwa ndio maana anakubaliana na ujinga wako

Hivi hapo nimetumia lugha ya matusi ee
 
Hakuna kitu humo. Ungekuwa una kitu ndani ungeniuliza maswali ya msingi kwanza nami nikakujibu ndo ungepata ku-draw conclusion ya maana. ungeuliza ni kwa nini nataka mtu mwenye sifa nilizotaja labda, uhuru wa mtoto kwenye familia yako utakuwaje, huo usiri wa kuwa na mtoto wa nje utakuwa wa muda gani, nk. Unakurupuka tu na kujifanya unajua mipango na mawazo yangu yote. Think out of box. Kama wewe umelemewa na matatizo ya maisha, tafuta msaada, mbinu na ushauri kwa watu. Sio kuleta hasira za kukosa mwelekeo wa maisha hapa.
 
Haahahahaaa lol! Haya bwana kila la kheri
 
sina uhakika kama hii huduma ipo hapa TZ lakini jaribuni kutumia surrogate, kama mkeo anaweza kuproduce eggs basi fanya IVF halafu mpandikize mimba kwa mwanamke mwingine (kwenye maabara sio ngono). mtatoa matunzo ya ujauzito na atakapozaa nyie mtamchukua mtoto wenu. mtoto atakuwa wenu genetically and everybody wins.
 
aaaah wap Mungu hajaribiw lbda ndo mtihan wako ucmkfuru ishi na mkeo kwa hal alynayo na mshkuru mungu hta kwa kdgo alchkupa
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom