aseee!serious1, kwanza nikupongeze kwa kuwa muwazi. i am so very proud of u! nakutakia kila la kheri,sio tu katika kupata mtoto, bali ujikute kwa bahati mbaya unapata na upemndo wa dhati.
Mkuu hujaweka wazi hzupo OK kiafya unakusudia nini? Umeathirika au hauna nguvu za kiume za kutosha? Uwazi wako ndiyo utakaokuoa na kupata good response toka kwa wadau.hello jf...iam very serious with this!!mimi ni kijana mwanaume wa umri usiozid 30...maisha yangu kwa ujumla ni ya kawaida kwa sasa kwani ninajitegemea..najitokeza kwenye jukwaa hili kwa request kama ilivyo apo juu kwenye heading..
.naomba mwanamke atakaekua TAYARI kusababisha mimi na yeye tupate ujauzito utakaotupa mtoto SALAMA kwani sipo Ok kiafya...natumai nimeeleweka ..nitakua tayari kwa responsibilities as a father..
Sasa ww unataka kuoa au kuolewa?hello jf...iam very serious with this!!mimi ni kijana mwanaume wa umri usiozid 30...maisha yangu kwa ujumla ni ya kawaida kwa sasa kwani ninajitegemea..najitokeza kwenye jukwaa hili kwa request kama ilivyo apo juu kwenye heading..
.naomba mwanamke atakaekua TAYARI kusababisha mimi na yeye tupate ujauzito utakaotupa mtoto SALAMA kwani sipo Ok kiafya...natumai nimeeleweka ..nitakua tayari kwa responsibilities as a father..
hello jf...iam very serious with this!!mimi ni kijana mwanaume wa umri usiozid 30...maisha yangu kwa ujumla ni ya kawaida kwa sasa kwani ninajitegemea..najitokeza kwenye jukwaa hili kwa request kama ilivyo apo juu kwenye heading..
.naomba mwanamke atakaekua TAYARI kusababisha mimi na yeye tupate ujauzito utakaotupa mtoto SALAMA kwani sipo Ok kiafya...natumai nimeeleweka ..nitakua tayari kwa responsibilities as a father..
<br />haupo safi kiafya afu unataka uzae na dada zetu ebo! katibiwe kwanza