natafuta mwanamke wa kuzaa nae

serious1

Member
Jul 5, 2011
40
10
hello jf...iam very serious with this!!mimi ni kijana mwanaume wa umri usiozid 30...maisha yangu kwa ujumla ni ya kawaida kwa sasa kwani ninajitegemea..najitokeza kwenye jukwaa hili kwa request kama ilivyo apo juu kwenye heading..

.naomba mwanamke atakaekua TAYARI kusababisha mimi na yeye tupate ujauzito utakaotupa mtoto SALAMA kwani sipo Ok kiafya...natumai nimeeleweka ..nitakua tayari kwa responsibilities as a father..
 
Sina nia mbaya huku nimepita tuu labda nikusahihishe kiswahili,unatafuta mwanamke wa kumpa mimba kisha azae mtoto,kama ilvyo thread yako nilielewa kuwa na wewe una mimba hivyo unatafuta mwanamke ambaye kwae,wakati wewe unajifungua naye atakuwa anajifungua,ila baada ya kusoma thread yako ndo nikapata ufafanuzi zaidi
 
serious1, kwanza nikupongeze kwa kuwa muwazi. i am so very proud of u! nakutakia kila la kheri,sio tu katika kupata mtoto, bali ujikute kwa bahati mbaya unapata na upemndo wa dhati.
 
aseee!
Duh!
 
nenda katikati ya gymkhana na ocean rd hospital upande wa baharini, kuna mama mmoja anakaa kaa pale, atakusaidia
 
hello jf...iam very serious with this!!mimi ni kijana mwanaume wa umri usiozid 30...maisha yangu kwa ujumla ni ya kawaida kwa sasa kwani ninajitegemea..najitokeza kwenye jukwaa hili kwa request kama ilivyo apo juu kwenye heading..

.naomba mwanamke atakaekua TAYARI kusababisha mimi na yeye tupate ujauzito utakaotupa mtoto SALAMA kwani sipo Ok kiafya...natumai nimeeleweka ..nitakua tayari kwa responsibilities as a father..
Mkuu hujaweka wazi hzupo OK kiafya unakusudia nini? Umeathirika au hauna nguvu za kiume za kutosha? Uwazi wako ndiyo utakaokuoa na kupata good response toka kwa wadau.
Ila nikikunukuu inaonekana umeathirika hivyo unataka mtu atakayekubali kuzaa na wewe kwa kufuata mpango wa uzazi salama, rejea sentensi yako "......naomba mwanamke atakaekua TAYARI kusababisha mimi na yeye tupate ujauzito utakaotupa mtoto SALAMA kwani sipo Ok kiafya...natumai nimeeleweka .." Naomba nisihukumiwe kwa kukujugde.
 
hello jf...iam very serious with this!!mimi ni kijana mwanaume wa umri usiozid 30...maisha yangu kwa ujumla ni ya kawaida kwa sasa kwani ninajitegemea..najitokeza kwenye jukwaa hili kwa request kama ilivyo apo juu kwenye heading..

.naomba mwanamke atakaekua TAYARI kusababisha mimi na yeye tupate ujauzito utakaotupa mtoto SALAMA kwani sipo Ok kiafya...natumai nimeeleweka ..nitakua tayari kwa responsibilities as a father..
Sasa ww unataka kuoa au kuolewa?
 
Hiyo sentensi mkuu inamaanisha nini kwamba wewe na yeye mpate ujauzito. Do you mean mkiwa pamoja mtasababisha wote wawili mpate ujauzito????!!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom