Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

mlossy

Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
40
Reaction score
34
Mambo vipi wadau wa Love Connect.

Mimi ninaitwa Mlossy Junior ninatafuta Mchumba kwani nimechoka maisha ya upweke. Elimu yangu,nina Degree ya kwanza na ni muajiriwa.Ninaishi Dar,kwa aliye tayari tuwasiliane kupitia 0713153696/0754953637,meseji zitajibiwa.Sibagui Dini,Elimu,Umri wala Kabila kwa sababu mapenzi ya kweli hayana uhusiano na chochote kati hivyo nilivyovitaja hapo bali ni makubalino baina watu wawili waliopendana.

Natanguliza shukurani za dhati.
 
hongera kwa uamuzi wako .Hata mi nina miaka 22 nipo arusha natafuta mchumba wa kike,awe mcha mungu,awe anajua kusoma na kuandika na mwaminifu.tuwasiliane kwa simu 0712806876 au email Alfayo koren gmail.com
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom