Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Astrid

Member
Joined
Dec 4, 2023
Posts
49
Reaction score
112
Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku.

Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga familia bora na imara.
Sifa: Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 37. Dini yeyote ile - Mkristo, au Muislam, au muumini wa makanisa ya kiroho (TAG); sio tatizo kwangu. AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI/HIV.

Kuhusu mimi: Miaka 40, mkristo, mwajiriwa, elimu yangu ni elimu ya juu ya juu ya Chuo kikuu. Ninaishi mkoani na wala siishi jijini DSM. Aliye na utayari akubali kuhamia mkoani baada ya kufikia makubaliano na kufunga ndoa.
Lengo kuu: Maisha ya ndoa/familia.

KARIBU KWA MWENYE NIA NA UHITAJI.
 
Umepata na ukipata uniambie mwaya, nitakuchangia kwenye harusi yako
 
Tunda zuri! Tuelewe nini?
AMEPATA AU HAJAPATA, AU AKIPATA NDO AKUALIKE?

siku naona hamuombi nauli, huwa mnatoa wenyewe mkifika mnakuta kijana wa watu ametulia sasa nyie mnamchanganya na kubeba kila kitu..

OYA MAN EE! HUMU NDANI JF HAKUNA MKE WA KUOA BALI KUNA MADEMU WA KUOA!
 
Kila la kheri, upate hitaji la moyo wako mkuu.
Beware: Marry at your own risk
 
Mkuu naamini kujenga familia bora ni lazima upate mwanamke bora. Naamini kwa uwezo wa Mungu basi humu JF nitafanikiwa kupata mke bora na nitafunga ndoa na ipo siku tutakuja kutoa ushuhuda hapa Jf.

Naomba maombi yenu zaidi
 
Wengine sisi kataa Ndoa, lakini nakutakia kila lililo jema.
 
Mkuu naamini kujenga familia bora ni lazima upate mwanamke bora. Naamini kwa uwezo wa Mungu basi humu JF nitafanikiwa kupata mke bora na nitafunga ndoa na ipo siku tutakuja kutoa ushuhuda hapa Jf.

Naomba maombi yenu zaidi
Nimecheka hadi nimejamba, nasubiri ushuhudaaa miee,
 
Tunda zuri! Tuelewe nini?
AMEPATA AU HAJAPATA, AU AKIPATA NDO AKUALIKE?

siku naona hamuombi nauli, huwa mnatoa wenyewe mkifika mnakuta kijana wa watu ametulia sasa nyie mnamchanganya na kubeba kila kitu..

OYA MAN EE! HUMU NDANI JF HAKUNA MKE WA KUOA BALI KUNA MADEMU WA KUOA!
Namaanisha yupo sehemu sahihi wapo wa kila ainaa,
 
Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku.

Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga familia bora na imara.
Sifa: Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 37. Dini yeyote ile - Mkristo, au Muislam, au muumini wa makanisa ya kiroho (TAG); sio tatizo kwangu. AWE TAYARI KUPIMA UKIMWI/HIV.

Kuhusu mimi: Miaka 40, mkristo, mwajiriwa, elimu yangu ni elimu ya juu ya juu ya Chuo kikuu. Ninaishi mkoani na wala siishi jijini DSM. Aliye na utayari akubali kuhamia mkoani baada ya kufikia makubaliano na kufunga ndoa.
Lengo kuu: Maisha ya ndoa/familia.

KARIBU KWA MWENYE NIA NA UHITAJI.
swala la kupima HIV nimekupenda hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom