Natafuta mwanamke wa kuishi naye

Natafuta mwanamke wa kuishi naye

Upo mkoa gani

  • Nipo kagera

    Votes: 1 100.0%
  • True

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1

feh

New Member
Joined
May 7, 2025
Posts
1
Reaction score
2
Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto, awe na elimu yoyote, awe mkristo wa dhehedu lolote awe tayari kuishi Mahali nilipo yeyote anayeweza kunipa connection anisaidie, nipo serios
 
Kumbe kupata mwanamke wa kuoa imekuwa rahisi namna hii, ok anyway wanawake mnaotaka ndoa mume huyu hapa
 
ukipata R.I.P man down
 
Mkuu Hongera sana kwa kuchukua hatua! Lakini usitafute mke wa kuishi naye tu,oa kabisa.
Hata hivyo hicho kigezo cha Sura nzuri usikitilie maanani sana.
Uzuri wa Mwanamke siyo Sura! Uzuri wa Mwanamke ni Utii,Heshima,adabu na Unyenyekevu.
Kila la kheri.
 
Kumbe kupata mwanamke wa kuoa imekuwa rahisi namna hii, ok anyway wanawake mnaotaka ndoa mume huyu hapa
Wamejaa tele huku mtaani. Tatizo mnaangalia miaka 30. Wewe akivuka 18 tambaa nae atasoma elimu ya watu wazima. Ukisubiria afike chuo umeisha mzee hata bikra hautaikuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom