Natafuta mwanamke wa kuishi nae

Natafuta mwanamke wa kuishi nae

Hicho chumba chako naamini hakikosi KUNGUNI.
Mkuu fanya usafi utakuja kulala na nyoka au siafu watakutembelea.[emoji16]
 
Naamua sasa kuaga ukapela nimeamua nije JF kutafuta mwanamke wa kuishi nae na kuanza nae maisha. Kabila langu mkurya na yeye sharti awe mkurya.. Umri wangu 45 , nimtakae awe na 50+
Picha yangu nimeweka na yeye sharti aweke picha yake kabla hajaja PM..
NB: usije pm mambo yote tunamalizia hapa hapa weka picha nikikupenda mwenyewe nitakufuata PM.
Hiyo ni nyumba yangu sijapanga.View attachment 1187787
[/QUOTl acha kutuchafulia kabila
 
Back
Top Bottom