hebu tufanye uwe mchepuko wangu petmanent wakati nakushauri jinsi yakuishi na huyo mkeo nanikiwapatanisha unipe zawadi nono mwenyewe nna ukata wa miaka ndugu
Great M, kuna kitu kinatatiza yaani unataka kusema katika ndoa yako hakuna kosa ulilofanya wewe yote mabaya ni mkeo.
"it takes two to tango"
hebu tufanye uwe mchepuko wangu petmanent wakati nakushauri jinsi yakuishi na huyo mkeo nanikiwapatanisha unipe zawadi nono mwenyewe nna ukata wa miaka ndugu
mimi ngono kwangu si kipaumbele hata kidogo..!( niliwahi kufanya mapenzi kwenye uteenager mara2 tu--kati ya miaka 15-25 nilipo oa...miezi sita ya mwanzo baada ya mahusiano kuvurugika nilipata shida kidogo mpaka nikajaribu punyeto kama mara 10 ndani ya miezi hiyo 6 ya mwanzo..baada ya hapo nika-stable" sijawahi fanya huo mchezo tena .. Na niko poa tu..!(kuvuta sijawahi tangu nimezaliwa).. Pombe nimewahi zile za kitoto(maana nimezaliwa kijijini na tulikuwa tunatengeza pombe za kienyeji) nadhani kwenye umri wa miaka 12 hivi ndio niacha kunywa pombe.. Na sitarajii..!
hakuna binadam chini ya jua aliye mkamilifu hata kidogo..yawezekana nilimkwaza mwenzi wangu kwa namna moja au nyingine.. Lakini nakiri itakuwa bila makusudio ya kumuumiza..labda kwa bahati mabaya.. Na nilikuwa mwepesi wa kuomba msamaha....nasema yawezekana nilimkosea bila kukusidia( kwasababu katika makosa ya wazi wazi sikuwahi kumtenda hata moja....( sikuwahi kumtukana hata nyokoo,sukuwahi kumsukuma japo kwa ukucha..ingawa alikuwa akinihamakisha kwa maneno mpaka..ila nilikuwa nampuuza na kuondoka zangu)..sikuwahi kumwendea kinyume...napale alipokuwa na mashaka na mienendo yangu niliweka wazi kila kitu(simu yangu,angeweza kuipekua hata na kukaa nayo apendavyo namimi haikuwa shida kwangu)..! Nadhani dhambi kubwa niliyomtendea tena bila kukusudia ni kutokuwa na kipato kinacholingana na hadhi yake..( maana siku zote umvi wetu ulikuwa huo,,, kwanini hatuendelei,..kwanini hatuwezi kununu gari kama wanaume wenzio,kwanini huwezi kujenga nyumba kama wanaume wenzio? Na ukumbuke pato langu yeye ndiye alikuwa mpangaji wa matumizi..nini kinunuliwe nini kisinunuliwe..! Nakiri kuwa ktk upande wa kipato sikutimiza ndoto zake za magari na majumba mazuri..lakini nilikuwa nikijitahidi na nikimweleza kuwa avute subra..maana tumo tunatafuta..>!
Pole mwaya ila ninakushauri ongea naye mkeo vizuri muulize ni kitu kimemfanya aondoke kwako na kitu gani ambacho kimemkwaza mpaka mmeachana, uenda kitakua ni kitu kidogo tu, kama atakwambia utajua namna ya kufanya ila kama la basi unabudi kuwaita wale wasimamizi wenu wa harusi ukaawashirikisha jambo hilo kisha maamuizi toka kwao yatatatua hilo tatizo lenu au nenda kwa yule aliyewafungisha ndoa mwambie na amwite mkeo awapatanishe usipende kujianika na kukimbilia hapa ili kupata msaada hautakusaidia cha kufanya kwani mmeshazaa watoto hivyo niyie kama wazazi inabidi mpatane na muwalee watoto wenu katika kicho chema cha mungu huo ndo mpango mzima bestito usitake kukurupuka na kutafuta mwanamke mwingine wa kumuoa ilihali unaye aliyewako wa mwanzo ongea naye jua ni tatizo gani kama itashindikana basi utaamua cha kufanya kuliko kuja hapa na kujieleza maneno mengi wako watakaokushauri hapa kama mm bestito wa ukweli na wako watakaokuenjoy pia tambua hilo bestito samahani kama nitakuwa nimekukwaza hapa ni ushauri tu
Umeokoka mana umesema hunywi pombe wala huvuti sigara? Wala kufanya mchezo mchafu?
Nina hofu ya MUNGU tu.. Na ni Mkristo wa madhehebu ya Katoliki....Kutofanya hayo yoyote ni misimamo tu na hulka ya mtu( Mfano Kunywa na kuvuta sikuwahi kufanya hivyo tangu nikiwa mdogo..Kuhusu mambo ya "utamu" ni malezi( Nawashukuru wazazi wangu wapendwa sana.. Hakika walinilea vyema....Na mtu anayejitambua "mautamu" yasiyo na mpangilio siyo dili..! Na hasa Zama hizi za Magonjwa...ni shiiiiida!!!!
I could sense either ni sabato au die hard catholic.
Pole kwa maswaiba ila sidhani kama kutafuta mtu mtandaoni ni wazo jema, Je katika shughuli na kazi zako, kanisani, majirani, uliosoma nao hauna network unayoweza kupata rafiki? Pili usikimbilie kutafuta mpweke au your description says- do want a desparate person uanze kazi ya kudeal na hizo desparation. Wewe jiweke huru kuwa unatafuta rafiki atakayekuelewa , dont be desparate kupata mke right away --wacha mambo yaflow automatically.
Otherwise unarisk kupata mke ambaye ni desparate kuolewa na hakutakuwa na urafiki nae. Si umeona baadhi ya ndoa ni mke na mume wapo tu hamna intimacy wala urafiki wa kusema huyu namtemgemea hata nikiteleza kabla hajanihukumu atanielewa udhaifu wangu?
All the best mkuu