Natafuta Mwanamke Malaya Nimuoe

Yajayo yatafurahisha zaidi.. Kwa hiyo unatafuta malaya???? Ukimaliza ujana utajagundua ulikuwana fikra jinga sana.
Acha gubu vijana wasipo oa mnachonga wakitaka kuoa mnaleta maneno ya ajabu hao dada zenu Malaya mnataka aoe nani

wali nazi maharage nazi
 
Hawadanganyiki kwa Serengeti lite na vinyama vya mbuzi vya wauza nyago

wali nazi maharage nazi
 
Malaya asiyependa pesa bado hajazaliwa.

Never say never
 
Acha gubu vijana wasipo oa mnachonga wakitaka kuoa mnaleta maneno ya ajabu hao dada zenu Malaya mnataka aoe nani

wali nazi maharage nazi
Hahahahahahaaaaaaaaaa!!!!! Nani alikudanganya UMALAYA nao ni kisifa????
 
Hahahahahahaaaaaaaaaa!!!!! Nani alikudanganya UMALAYA nao ni kisifa????
Nimeiongeza iwe mojawapo ya sifa nimeona walioa Malaya na wakakubaliana na hiyo hali wanaishi maisha mazuri kabisa

wali nazi maharage nazi
 
Nimeiongeza iwe mojawapo ya sifa nimeona walioa Malaya na wakakubaliana na hiyo hali wanaishi maisha mazuri kabisa

wali nazi maharage nazi
Kua uyaone mdogo wangu kua uyaone. Malaya ni malaya kwani ndivyo alivyo, naye ni wakala wa shetani.
 
mkuu hapa kitaani kwangu kuna bar maid mmoja nadhani mnaweza kuendana... sifa zote ulizotaja 100%
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…