King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,977
- 2,807
Mimi ni negative ila niko tayari hivyo hivyo tuoane nicheki inbox!!
🤣🤣🤣🤣🤣 wakugaie kwa buku mbili yao?Ubize upi wa kunitoa upwiru mimi ndugu ?
Kushinda barabarani nasubiri buku mbili za waja nao wanaonipa kuna muda jinsia ya kike natamani niseme usinipe buku mbili twende unipunguzie kokoro ila ndiyo vile naogopa wasije nirekodi nikapotea hewani .
Hahhahaa, napakumbuka hapo nilienda enzi hizo nasoma shule ya kisabato! Toa neno huwezi jua lolote linaweza kutokea!Anyway nakuja mwanza _shamaliwa nimearikwa na kanisa la wasabato nizungumzie mambo ya uzazi tegemea kuniona nikitema yai huku natafuta kamchumba ka kisabato .
Anatafuta mwanamke😳Mimi ni negative ila niko tayari hivyo hivyo tuoane nicheki inbox!!
Si ndo mimi sasa anicheki!!Anatafuta mwanamke😳
kingereza ni lugha ambayo hajazaliwa nayo,amejifunza,anaweza kukosea kama wengine, ukizingatia rwanda wana lugha kuu mbili za mawasiliano kifaransa na kinyarwanda huku kiingereza kikitumiwa na wasomi kama nyenzo ya mawasiliana na kiswahili kwa baadhi ya maeneo.Itakua ana maanisha ameondoka Rwanda,
Sasa sijui atakua anaishi wapi tu siku hizi.
Sawa atakucheki kuwa na subra!Si ndo mimi sasa anicheki!!