Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Dec 27, 2023 #121 Amehlo said: ππππππdaaah Click to expand... Sasa hii daaah, mamdogo umemaanisha nini? Kwamba haipo, au?
Amehlo said: ππππππdaaah Click to expand... Sasa hii daaah, mamdogo umemaanisha nini? Kwamba haipo, au?
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Dec 27, 2023 #122 Amehlo said: bamdogo yu are missed Click to expand... Ntaonekana hivi karibuni mamdogo. Kwasasa tupo bize kusaka bikra..!!!
Amehlo said: bamdogo yu are missed Click to expand... Ntaonekana hivi karibuni mamdogo. Kwasasa tupo bize kusaka bikra..!!!
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Dec 27, 2023 #123 Ngalikihinja said: Sasa hii daaah, mamdogo umemaanisha nini? Kwamba haipo, au? Click to expand... zipo ila hiyo dah ni ya kwanini atangaze
Ngalikihinja said: Sasa hii daaah, mamdogo umemaanisha nini? Kwamba haipo, au? Click to expand... zipo ila hiyo dah ni ya kwanini atangaze
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Dec 27, 2023 #124 Ngalikihinja said: Ntaonekana hivi karibuni mamdogo. Kwasasa tupo bize kusaka bikra..!!! Click to expand... ππππππhaya
Ngalikihinja said: Ntaonekana hivi karibuni mamdogo. Kwasasa tupo bize kusaka bikra..!!! Click to expand... ππππππhaya
Wafujo JF-Expert Member Joined Feb 10, 2021 Posts 451 Reaction score 1,010 Dec 27, 2023 Thread starter #125 Captain Fire said: Kasoro ipi kuwa muwazi alafu pia hamna mtu asiyekuwa na kasoro hata wewe hapo lazima unakasoro zako Click to expand... Mwanamke mnyanyua vyuma unamuona ni wa kawaida mkuu?
Captain Fire said: Kasoro ipi kuwa muwazi alafu pia hamna mtu asiyekuwa na kasoro hata wewe hapo lazima unakasoro zako Click to expand... Mwanamke mnyanyua vyuma unamuona ni wa kawaida mkuu?
T Tumbili wa Mjini JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 3,944 Reaction score 8,154 Dec 27, 2023 #126 Wafujo said: Mwanamke mnyanyua vyuma unamuona ni wa kawaida mkuu? Click to expand... Kaka si mambo ya kumueleza tu
Wafujo said: Mwanamke mnyanyua vyuma unamuona ni wa kawaida mkuu? Click to expand... Kaka si mambo ya kumueleza tu
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Dec 27, 2023 #127 Amehlo said: zipo ila hiyo dah ni ya kwanini atangaze Click to expand... Kwani unazo ngapi mamdogo hadi useme zipo?
Amehlo said: zipo ila hiyo dah ni ya kwanini atangaze Click to expand... Kwani unazo ngapi mamdogo hadi useme zipo?
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Dec 27, 2023 #128 Ngalikihinja said: Kwani unazo ngapi mamdogo hadi useme zipo? Click to expand... 3
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Dec 27, 2023 #129 Amehlo said: 3 Click to expand... Kati ya ngapi mamdogo?
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,415 Reaction score 30,132 Dec 27, 2023 #130 Ngalikihinja said: Kati ya ngapi mamdogo? Click to expand... 3
Loading failed JF-Expert Member Joined Sep 14, 2023 Posts 2,963 Reaction score 8,244 Dec 27, 2023 #131 Wafujo said: Nashukuru kwa ushauri wako japo naweza kuanza nao kwa hawa hawa wavaa gwanda wa hapa mjini. Click to expand... Wavaa gwanda wa mjini wengi siyo bikra labda ucheze na form 2B. Ila shauri yako utafungwa. Kijijini wapo waliosogeza umri na bado ni mabikra ila washamba washamba sana
Wafujo said: Nashukuru kwa ushauri wako japo naweza kuanza nao kwa hawa hawa wavaa gwanda wa hapa mjini. Click to expand... Wavaa gwanda wa mjini wengi siyo bikra labda ucheze na form 2B. Ila shauri yako utafungwa. Kijijini wapo waliosogeza umri na bado ni mabikra ila washamba washamba sana
Wafujo JF-Expert Member Joined Feb 10, 2021 Posts 451 Reaction score 1,010 Dec 27, 2023 Thread starter #132 Captain Fire said: Kaka si mambo ya kumueleza tu Click to expand... Kwakua nawe watafuta bikra, huyo nimekuachia wewe mkuu.
Captain Fire said: Kaka si mambo ya kumueleza tu Click to expand... Kwakua nawe watafuta bikra, huyo nimekuachia wewe mkuu.
Wafujo JF-Expert Member Joined Feb 10, 2021 Posts 451 Reaction score 1,010 Dec 27, 2023 Thread starter #133 Loading failed said: Wavaa gwanda wa mjini wengi siyo bikra labda ucheze na form 2B. Ila shauri yako utafungwa. Kijijini wapo waliosogeza umri na bado ni mabikra ila washamba washamba sana Click to expand... Dah sawa bhana ngoja niendelee kupambana mpaka kieleweke.
Loading failed said: Wavaa gwanda wa mjini wengi siyo bikra labda ucheze na form 2B. Ila shauri yako utafungwa. Kijijini wapo waliosogeza umri na bado ni mabikra ila washamba washamba sana Click to expand... Dah sawa bhana ngoja niendelee kupambana mpaka kieleweke.
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,778 Reaction score 13,684 Dec 27, 2023 #134 Mabikra utapata ila ni vifupi.Kumkuta mrefu bikra ni sawa na kuifanya JF iwe na muonekano wa Insta.
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Dec 27, 2023 #135 Sasso said: Sikukatishi tamaa. Ila kila la kheri Click to expand... Hapo tayari umeshamkatisha tamaa Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Sasso said: Sikukatishi tamaa. Ila kila la kheri Click to expand... Hapo tayari umeshamkatisha tamaa Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
T Tumbili wa Mjini JF-Expert Member Joined Jul 23, 2023 Posts 3,944 Reaction score 8,154 Dec 27, 2023 #136 Wafujo said: Kwakua nawe watafuta bikra, huyo nimekuachia wewe mkuu. Click to expand... Mimi nie tayari nishamtoa pia, nikaona kwanini nisimunganishie mwana kwakua naye pia anatafuta
Wafujo said: Kwakua nawe watafuta bikra, huyo nimekuachia wewe mkuu. Click to expand... Mimi nie tayari nishamtoa pia, nikaona kwanini nisimunganishie mwana kwakua naye pia anatafuta
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Dec 27, 2023 #137 Unataka kufanya tambiko?
R Rioh JF-Expert Member Joined Jun 16, 2023 Posts 437 Reaction score 725 Dec 27, 2023 #138 Labda umzae wako
James Comey JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 9,199 Reaction score 15,555 Dec 27, 2023 #139 Ulongupanjala said: Bikra ya eneo gani tafadhali Miaka 19-26??? Hata huko Uarabuni huwezi kupata bikra kwa miaka hii. Umri wa 19-26 kati ya wanawake 50,000 wenye bikra ni 2 tu. Almost impossible Click to expand... Hapana zipo msimkatishe jamaa tamaa. Hiyo ndo kitu anataka na zipo. Mi simjui huyu jamaa vizuri tu ila ningemuunganisha na mtuwenye sifa aitakayo.
Ulongupanjala said: Bikra ya eneo gani tafadhali Miaka 19-26??? Hata huko Uarabuni huwezi kupata bikra kwa miaka hii. Umri wa 19-26 kati ya wanawake 50,000 wenye bikra ni 2 tu. Almost impossible Click to expand... Hapana zipo msimkatishe jamaa tamaa. Hiyo ndo kitu anataka na zipo. Mi simjui huyu jamaa vizuri tu ila ningemuunganisha na mtuwenye sifa aitakayo.
Wafujo JF-Expert Member Joined Feb 10, 2021 Posts 451 Reaction score 1,010 Dec 27, 2023 Thread starter #140 Kalpana said: Unataka kufanya tambiko? Click to expand... Uzi unajieleza, nataka nimfanye mke.