Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

Kichwa cha habari chahusika.

Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora.

Sifa za huyo mwanamke :
1. Awe mwenye hofu ya Mungu
2. Awe KABILA LOLOTE LILE
3. Umri kuanzia miaka 22 - 35
4. Asiwe single maza
5. Elimu yake iwe kuanzia form iv
6. Awe mwajiriwa au amejiari / mjaririamali
7 . Awe tayari kupima HIV
8. Asiwe mlevi / chapombe

Sifa zangu.

1. Nina hofu ya Mungu
2. Umri miaka 36
3. Elimu ya chuo kikuu
4. Nina kibarua kinaniweka mjini
5.Sio mlevi but sometimes nakunywa
6. Nipo tayari kupima HIV 24/7

Kwa mwenye sifa karibu tuyajenge.

ASANTENI NA KARIBUNI SANA
Huna hela*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom