Natafuta Mwanamke anaejitambua tuzae

Natafuta Mwanamke anaejitambua tuzae

Guys, am married. Niko na watoto wawili, but I want more children ila mke hajui kukaa kwa nafasi ake vizur. Its time nijaribu nje.

Sasa, mwanamke ninaetafuta anizalie: Mimba na mtoto nitatunza and akikua ntasomesha na naweza mchukua mtoto from time to time tufanye bonding but most of the time atakaa na mamake for obvious reasons.

Alie interested aje inbox.

Angalizo: Usiwe umeolewa,uwe na kipato angalau cha kukutosha wewe mwenyewe. Hakuna mapenzi na usiwe na matazamio ya kumpindua mtu,njoo na nia ya dhati na maturedness yako. Lazima uwe unapenda watoto,binafsi nawapenda sana!
Mkuu hv na ww unaamin uwepo Wa mungu? Kama una amiin hilo futa hch ulchokiandika maana utakuawa unamdhalilisha sana huyo mungu wako
 
Dah hizi akili zingine kweli ni shidah,unadhani binadamu,in this case mwanamke ni kama kwenda Nakumati na kuchukua friji kasha badala ya kuhifadhia vitu na kupoozesha wewe ukaifanya ikawa ngazi wakati wa kuweka luku....
 
Au unadhani ni mizinga unachukua tu na kwenda kutundika ukisubiri kuja kurina asali na kuitupa mizinga kule? Huu umagharibi unatupeleka pabaya ati,na chaajabu unaweza kuta nawe unaamini katika Mungu. Get rid of such thought brother
 
Asa ww utajua vp km huyo mwanamke anapenda watoto?

Take care mapritenda wengi @
 
Mwanamke anaejitambua hawezi kuzaa nje ya ndoa kwa makusudi kama unavyotaka, Mwanamke Anaejitambua hawezi ingilia ndoa ya mwanamke mwenzie, WEWE UTAYAPATA MAKURUMBEMBE AMBAYO YANASHINDA KWA WAGANGA KUTAFUTA WAUME ZA WATU, Tegemea mambo hayo 3, Kuivuruga Ndoa yako, Kuletewa maradhi na kufilisika kuwa maskini hata kazi utafukuzwa na biashara kudoda kabsa jinsi nuksi zitakavyoanza kukuandama.
 
Back
Top Bottom