veronica.kyamba
Senior Member
- Sep 21, 2014
- 148
- 37
jamaa anasimu, tena smartphone
hata me ninayo smartphone..
jamaa anasimu, tena smartphone
hata me ninayo smartphone..
mimi hapa je una assets gani mapaka sasa... una sh ngapi bank? unabiashara gani?
Nionekane kwa nani??
Mi ndo kwanza nmeanza maisha so mal ya maana sina ila znatafutwa tunaweza tafuta wote,unasemaje
orodhesha mali zako ulizonazo kwanza, tupo wengi sana
Tukisema vijana wanapenda mteremko wanaume wanabisha, huu si umario huu.
Ninajitosheleza sa umario unatoka wap
Una nyumba????
Una gari?????
Una uwezo wa kutoa 50000 kila siku ya saloon??????
TAfuta saizi yako, utakonda bure shauri yako unatafuta mmama wa kutafuta na maisha nani kakwambia, waliopo wote washatafuta maisha yao, labda kama unataka ukawe mshika pembe.

Mi najitambua mawazo ya mtu hayabadiliahi kile ninachojuaKwa jibu hili, akiendela kuleta uzi wa namna hii humu! Atakuwa mtu roho ngumu sana