Natafuta mwanamke aliyeachika/hajaolewa

Ntambaswala

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
255
78
Maisha na huyu mke wangu yamenishinda kabisa, ila bado nahitaji mahusiano na mwanamke. Natafuta mwanamke ambaye hana mume kwa sasa umri above 27yrs ili tuanzishe mahusiano, umri wangu ni >27 < 48yrs.........ndoa yangu hii ilifungwa Kiislamu ingawa sasa mimi ni mkristo.
Karibu
 
Ok kwa hiyo umri wako kwa maana nyingine ni 27<X<48. Na mwanamke range ni umri gani na dini yake? Pole kwa masaibu ya ndoa
 
Maisha na huyu mke wangu yamenishinda kabisa, ila bado nahitaji mahusiano na mwanamke. Natafuta mwanamke ambaye hana mume kwa sasa umri above 27yrs ili tuanzishe mahusiano, umri wangu ni >27 < 48yrs.........ndoa yangu hii ilifungwa Kiislamu ingawa sasa mimi ni mkristo.
Karibu

Mbona suala la kupima vvu hujaliweka mbele. Kwa mtu makini hiki ndicho kigezo cha kwanza kuliko hata umri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom