halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,253
Habari zenu wana JF
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, baada ya kusota kwa muda mrefu bila ajira ya maana hatimaye nimefanikiwa kupata mtaji ambao nimefikiria kufungua banda la chipsi
Sehem ni tabata kwa bibi( kwa wakazi wa dar watakuwa wanapaelewa au kupasikia) ni njia kama unaenda tabata segerea kituo kimoja baada ya sanene
Binafsi sikuwahi kufanya hii biashara kwa hyo mambo mengi yananikwamisha..so far nlikuwa natafuta kijana mzoefu (umri wowote ) kama yupo tayar anichek PM au kama ana mtu anamfahamu aniunganishe nae tuweze sukuma gurudumu la maisha
NB kama ukitokea tabata utapewa kipaumbele zaid
Mshahara tutaelewana
Aksanten sana....