Natafuta mume

Natafuta mume

Eldorah2013

Senior Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
119
Reaction score
61
Mimi ni mwanamke, nina mtoto mmoja i am 32, nilitengana na mume kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia jf kutafuta mwenza maana walio mtaani ndo hawa hawa walio JF aliye tayari please njoo pm tuzungumze.

Kama hauna la maana pita tu. Mwanaume ninayemtaka awe kuanzia 34-45.

Nitashukuru kama matusi na kejeli havitajitokeza hapa.
 
mimi ni mwanamke, nina mtoto mmoja i am 32, nlitengana na mume kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia jf kutafuta mwenza maana walio mtaani ndo hawa hawa walio jf, aliye tayari please njoo pm tuzungumze. kama hauna la maana pita tu. mwanaume ninayemtaka awe kuanzia 34-45.
nitashukuru kama matusi na kejeli havitajitokeza hapa.

Picha yako pls
 
Una Elimu gani?na kama huna Elimu ni bora utafute kozi kisha uje.

swissme
 
Hili suhala la elimu tunalichukulia mzaa, huyo anaeuliza hapo,
Unakuta anandugu wanaomtegemea na kumuona Kama mshauri wao.
 
mimi ni mwanamke, nina mtoto mmoja i am 32, nlitengana na mume kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia jf kutafuta mwenza maana walio mtaani ndo hawa hawa walio jf, aliye tayari please njoo pm tuzungumze. kama hauna la maana pita tu. mwanaume ninayemtaka awe kuanzia 34-45.
nitashukuru kama matusi na kejeli havitajitokeza hapa.

Nna 33 na miez 10, VP nafit?
 
Hili suhala la elimu tunalichukulia mzaa, huyo anaeuliza hapo,
Unakuta anandugu wanaomtegemea na kumuona Kama mshauri wao.
ushauri, maneno ya hekima na busara havina uhusiano na elimu ila, elimu unayoisemea sijui ni ipi kwa uelewa wangu hata elimu ya msingi ni elimu
 
Washamba ni wengi sana unaweza kwenda shule na bado ujinga usikutoke ujinga hauna dawa ?? Mke ni hekma busara subira udilifu sio elimu
 
Amka kaka Audrey utapata michepuko tu ukikimbiza elimu wengi maofisini hawafai
 
mimi ni mwanamke, nina mtoto mmoja i am 32, nlitengana na mume kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia jf kutafuta mwenza maana walio mtaani ndo hawa hawa walio jf, aliye tayari please njoo pm tuzungumze. kama hauna la maana pita tu. mwanaume ninayemtaka awe kuanzia 34-45.
nitashukuru kama matusi na kejeli havitajitokeza hapa.

neema hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom