King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,346
- 88,522
Miaka 45? Baada ya miaka 10 mnaanza kula pension ya uzeeni.
Ushauri wa bure
Sema una umri gani,familia kama una watoto,unaishi wapi,kazi yako,elimu yako,urefu,umbile kama mnene au modo,kabila ila sio lazima,kisha taja sifa ya huyo babu unaemtaka.
45 imekaa mbali sana,aisee.
Natafuta mume wwema, awe mtu anayempenda Mungu, miaka 45, awe msomi kiasi na awe Mkatoliki.
Natafuta mume wwema, awe mtu anayempenda Mungu, miaka 45, awe msomi kiasi na awe Mkatoliki.
Natafuta mume wwema, awe mtu anayempenda Mungu, miaka 45, awe msomi kiasi na awe Mkatoliki.
najisikia vibaya nikiiona hii post na zingine zinazofanana na hizi!!
nani kakwambia kwenye mitandao kuna mme mwema/mke mwema??????????
Kwani yeye kataja umri wake?
unaju ye ana umri gani?
Jamani jamani jamani!! inamaana bidada anaweza kuwa anaambaa kwenye 38 nakuendelea.
Kwani wewe unangapi?
Utakaa hivyo hivyo kuna watu Kibao wanakutana kwenye mitandao
Jamani jamani jamani!! inamaana bidada anaweza kuwa anaambaa kwenye 38 nakuendelea.
I see. Kwani huyo mmama hahitaji kupooza nafsi yake? Afu kuna vijeba humu sema havitaki kutaka umri...
Mungu akupe hitaji la moyo dada.
40 Kabisaa hivi unajua hapo ndo anasikia kunoga zaidi?