Natafuta mume

Nakumbuka nisha wahi kujitokeza kwako tukawa tunawasiliana kilekipindi unaandaa kipindi cha TV bt baada ya mda ukaniweka kapuni ukanambia uko bize sa sijui sina sifa uzitakazo!!!??
Nilikua seriouz
 
Ni pm utume na picha yako ya mbunye ni access chombo kama kimepiga millage za kutosha au la
 
kulikua na ulazima gani ujibu..sasa ungeenda kwa wale waliondika kiswahili..ndo nilivyo and i wnt change.!

Sasa dada hivi hujui moja ya sifa kuu kwa mwanamke nimajibu yake??dunia ya sasa hakuna mwanamme wakukalia kuchwani hata akiwa mbulula kiasi gani..unaonesha una element zakumtawala mwanaume..KIZURI CHAJIUZA CHENYEWE NA KIBAYA......
 
Mtu akisema yeye ni mhaya kwangu amepoteza sifa moja kwa moja!!!
 
Pamoja na kwamba huna elimu kama ulivyosema, hapa siyo sehemu ya matangazo ya biashara hiyo.




 
Sasa dada hivi hujui moja ya sifa kuu kwa mwanamke nimajibu yake??dunia ya sasa hakuna mwanamme wakukalia kuchwani hata akiwa mbulula kiasi gani..unaonesha una element zakumtawala mwanaume..KIZURI CHAJIUZA CHENYEWE NA KIBAYA......

Well hyo ni opinion yako my dear..ila ni this world what you give is what you receive..!kuna baadhi ya watu wanamajibu ya maudhi yanaweza ata kukuharibia siku..well nawajibu as thy deserve..sidhani kama kuna mtu nimemjibu vibaya wakati alikua mstarabu..!
 
mi nakushauri dada. we potezea tu si kila mtu wa kumjibu. hapo utajiharibia malengo yako.
 

nichek whatsup 0786004243
 
Hvi ww kaka una nin?nakuona toka nikuambie siwezi kua na mtu mwenye umri chini yangu unahangaika...mbna nilikua mstaarabu sana kwako?jielewe basi

Vp mdada bado hujapata nijilete pm?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…