Mangwea1900
JF-Expert Member
- May 29, 2025
- 2,485
- 3,224
Niombee nichukue chuma nitakutuma kupeleka mahari yote hakuna kukopaNakuombea
Kaka kwenda pm nibonyeze ngap ngap πFursa ndio hii sasaππ ngoja nimshtue na ndugu yangu Harmful huyu abaki kwenye familia asiende mbali ππ
Mbon kama ombi letu tuliotumaga unalikataa kiaina ππ€£π€£ huyo upewe wewe apo Harmful atatafutiwa mwingine
Fundi cherehani anatafuta mwanaume jf?Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.
Asanteni
Anaambiwa "Ma mtu nifosie mazingira" ππππ...Shida madogo unaowatafuta hawana hela.. baada ya kupatana hela ya kula anakuuliza
"Saa ma'mtu tunafanyeje ndo mchana huu?"
π π au ni mtego huu kaka, tuambizaneMbon kama ombi letu tuliotumaga unalikataa kiaina π
ID yako ya siku zote ni ipi?Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume.
Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na ufumaji pia na pia najiendeleza na stashahada.
Asanteni
Si ndiyoNgoja nianze mchakato mapema, wasije wakanichukulia ndege wangu ππ
Naona anakusakazia itakuwa anakupima kama ni mwaminifu ππ π au ni mtego huu kaka, tuambizane
Ombi gani tena?Mbon kama ombi letu tuliotumaga unalikataa kiaina π