Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
At your own risk 😁duuh km mbna ukatiri uo? sasa kama kaburi halionekani limeshayeyuka lenyewe ghafla kwa neema ya muumba apo inakuwaje? mnaachana au?

Jibu message mama watoto, wengine hatukuliona tangazo kwa wakati mwafaka.Habari za humu JF
Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
kiongozi una digrii au unataka kuisumbua mahakama tu?Jibu message mama watoto, wengine hatukuliona tangazo kwa wakati mwafaka.
Ulimpata? Nataka kuja pm kama bado.
Digrii ya nini tena? Mtu anatafuta mume mahakama ya nini tena?kiongozi una digrii au unataka kuisumbua mahakama tu?
😆😆haya kiongozi kila laheriDigrii ya nini tena? Mtu anatafuta mume mahakama ya nini tena?
Njoo dm tafadhari kama hujapata mpaka sasaHabari za humu JF