NATAFUTA MUME

NATAFUTA MUME

kama una hivi mimi niko tayari,kijungu kinono kinachotikisika kisiwe kikubwa sana,miguu mizuri,sura nzuri,ngozi laini nyeupe au maji ya kunde na usiwe una kitambi kama uko hivi mi hoi
 
Nipo hapa ila bado siku tisa nifikishe 29, utanisubiri mke wangu?
 
Unatafuta Mauti KUZIMU?
😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Usinichekeshe me nimefiwa!
Usiwakatishe watu tamaa ikiwa haujampata mtu sahihi. Wanawake na wanaume wenye upendo wa dhati wapo ila ni vigumu sana kuwapata. Jipe muda utapata mtu sahihi kwako na utasema ulikuwa wapi honey muda wote nikiteseka?
Kama ww mtoto mzuri unalalamika, sijui S wangu huko alipo maana kwa vitimbi alivyonifanyia ilibidi nipige chini mapema. Ila nashukuru wanawake mko wengi sikuumia. Tangia siku ile nikasema sitapenda mwanamke yoyote wala kuoa.Nazalisha kisha nakaa na wanangu. Kuishi na mwanamke ni stress tu.
Sorry! mtoa uzi
 
! mtoa uzi
Mdogowangu me niolewe mara Ngapi!?
Nilishaolewa Nina ndoa ya Miaka 33
Mama wa watoto 3 na wajukuu 5

Pole Kwa yaliokukuta usiyakatie tamaa MAISHA... Maisha lazima yaendelee... Mwombezi Mungu Sana atakupa wa Ubavu wako WA kushoto Sawa ee?
 
Mkuu hiki ni kilengeo, umakini unahitajika unaweza kuta anavizia wale masela wa komenti za kumponda mkulu then unakuta unachukuliwa kirahisi, mademu wapo wengi mtaani tena asilimia kubwa ni kitonga, miteremko yaani unateleza tu kama ganda ndizi kuwapata.

Masela tuache tamaa, awakubali wanaomtongoza mtaani kwao

Thank me later
 
Mwanamke hauna ata vigezo!! Naona watu wanaingia sokoni kuchukua nguruwe kwenye gunia
 
Bado haukupata
Ukishakua na ukimwi tu itabaki lugha ya maliwazo lakin kutengana ni lazima
 
Tulia na wenzio watafute ili waolewe sasa mbona unawakatisha tamaa?
Mdogowangu me niolewe mara Ngapi!?
Nilishaolewa Nina ndoa ya Miaka 33
Mama wa watoto 3 na wajukuu 5

Pole Kwa yaliokukuta usiyakatie tamaa MAISHA... Maisha lazima yaendelee... Mwombezi Mungu Sana atakupa wa Ubavu wako WA kushoto Sawa ee?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom